Results for amina translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

amina amerudi gerezani!

Italian

amina è di nuovo in prigione!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwake uwe uwezo milele! amina.

Italian

a lui la potenza nei secoli. amen

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwake yeye uwe utukufu milele! amina.

Italian

al quale sia gloria nei secoli dei secoli. amen

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndugu, nawatakieni ninyi nyote neema ya bwana wetu kristo. amina.

Italian

la grazia del signore nostro gesù cristo sia con il vostro spirito, fratelli. amen

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sisi wote tulipumbazwa na tangazo kwamba amina aliachiliwa kwa mashitaka ya kumimiliki kifaa hatari.

Italian

la delusione di sapere che il capo d’imputazione di amina era il possesso di un oggetto incendiario è stata davvero grande.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kukosekana kwa msaada kwa ajili ya amina kutoka kwa chama cha upinzani kisicho cha kidini nchini tunisia, kulikosolewa.

Italian

la mancanza di supporto ad amina da parte dell'opposizione tunisina è stata molto criticata.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika hati ya avaaz ya kushinikiza kuachiwa kwa amina, kamati ya msaada kwa mwanaharakati huyo kijana wa femen ilisema :

Italian

nella petizione su avaaz per la richiesta di rilascio di amina, la commissione di supporto della giovane attivista di femen ha affermato:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

amina ni mfungwa wa unafiki wa kisiasa nchini tunisia na kimya cha wale wanaojidai kuwa wanademokrasia lakini hawajaribu kuonyesha msimamo katika vita hivi vinavyoendelea.

Italian

amina è la prigioniera dell’ipocrisia politica tunisina e del silenzio di tutti coloro che si reputano democratici e poi non hanno nemmeno il coraggio di prendere parte alla battaglia in corso.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwake mungu aliye peke yake mwenye hekima, uwe utukufu kwa njia ya yesu kristo, milele na milele! amina.

Italian

a dio che solo è sapiente, per mezzo di gesù cristo, la gloria nei secoli dei secoli. amen

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini endeleeni kukua katika neema na katika kumjua bwana wetu na mwokozi yesu kristo. utukufu uwe kwake, sasa na hata milele! amina.

Italian

ma crescete nella grazia e nella conoscenza del signore nostro e salvatore gesù cristo. a lui la gloria, ora e nel giorno dell'eternità. amen

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bwana ataniokoa na mambo yote maovu, na kunichukua salama mpaka katika utawala wake wa mbinguni. kwake uwe utukufu milele na milele! amina.

Italian

il signore mi libererà da ogni male e mi salverà per il suo regno eterno; a lui la gloria nei secoli dei secoli. amen

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanasheria wa amina walisema kwamba alikuwa na kifaa hicho kwa sababu ya kujilinda, kufuatia vitisho vya kuuawa alivyopata mwezi machi, baada ya yeye kuwa ameweka picha inayomwonyesha bila nguo kifuani kwenye mtandao wa facebook.

Italian

gli avvocati di amina l'hanno difesa dicendo che la ragazza lo possedeva per motivi di autodifesa, in seguito alle minacce di morte ricevute lo scorso marzo per aver pubblicato delle sue foto in topless su facebook.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanaharakati wengine watatu wa femen, wafaransa wawili na mjerumani mmoja pia wanatarajiwa kujibu mashtaka juni 5. wanatarajiwa kufungwa kifungo cha miezi sita kwa kufanya maandamano wakiwa na vifua wazi nje ya makao ya mahakama ya tunis mnamo mei 29 kumuunga mkono amina.

Italian

anche le altre tre attiviste di femen, due francesi e una tedesca, sono parte del processo e rischiano sei mesi di carcere per aver protestato in topless fuori dal tribunale di tunisino in supporto di amina il 29 maggio.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kesi ya amina tyler, mwanaharakati wa femen raia wa tunisia, ambaye alikamatwa mei 19 baada ya kuchora neno femen kwenye ukuta wa makaburi ya kairouan, kilomita 184 kutoka mji mkuu wa tunis, itaendelea juni 5.

Italian

il 5 giugno è ricominciato il processo dell'attivista tunisina di femen amina tyler, arrestata il 19 maggio dopo aver scritto la parola femen su un muro cimiteriale a kairouan, a 184km dalla capitale tunisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwake yeye aliye peke yake mungu, mkombozi wetu, uwe utukufu, ukuu, nguvu na mamlaka kwa njia ya kristo bwana wetu, tangu zama zote, sasa na hata milele! amina.

Italian

all'unico dio, nostro salvatore, per mezzo di gesù cristo nostro signore, gloria, maestà, forza e potenza prima di ogni tempo, ora e sempre. amen

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lo! jinsi kilivyo kina cha utajiri wa mungu na hekima na ujuzi! jinsi hukumu zake zisivyochunguzika na njia zake zisivyotafutika! kwa maana “ni nani amekuja kuijua akili ya yehova, au ni nani amekuwa mshauri wake?” au, “ni nani amempa yeye kwanza, hivi kwamba iwe lazima arudishiwe?” kwa sababu vitu vyote ni kutoka kwake na kwa yeye na kwa ajili yake. kwake yeye na kuwe na utukufu milele. amina.

Italian

o profondità della ricchezza e della sapienza e della conoscenza di dio! come sono imperscrutabili i suoi giudizi e impenetrabili le sue vie! poiché “chi ha conosciuto la mente di geova, o chi è divenuto suo consigliere?” o: “chi gli ha dato per primo, così che gli debba essere reso?” poiché da lui e mediante lui e per lui sono tutte le cose. a lui sia la gloria per sempre. amen.

Last Update: 2013-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,934,694,460 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK