Results for hariri translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

hariri

Italian

seta

Last Update: 2010-03-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

watavaa hariri nyepesi na hariri nzito wakikabiliana,

Italian

saranno vestiti di seta e broccato e staranno gli uni di fronte agli altri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na atawajazi bustani za peponi na maguo ya hariri kwa vile walivyo subiri.

Italian

li compenserà del loro perseverare con il giardino e la seta.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

watapambwa humo kwa mapambo ya mikononi ya dhahabu na lulu. na mavazi yao humo ni hariri.

Italian

colà saranno adornati di bracciali d'oro e di perle e le loro vesti saranno di seta.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

juu yao zipo nguo za hariri laini za kijani kibichi, na hariri nzito ya at'ilasi.

Italian

indosseranno abiti verdi di seta finissima e broccato.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mabustani ya milele watayaingia. huko watavikwa vikuku vya dhahabu, na lulu, na nguo zao humo ni za hariri.

Italian

entreranno nei giardini di eden, ornati di bracciali d'oro e di perle e saranno di seta i loro vestiti.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

wawe wameegemea matandiko yenye bit'ana ya hariri nzito; na matunda ya bustani hizo yapo karibu.

Italian

saranno appoggiati, [i loro ospiti], su divani rivestiti internamente di broccato, e i frutti dei due giardini saranno a portata di mano.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

humo watapambwa kwa mavazi ya mikononi ya dhahabu, na watavaa nguo za kijani za hariri na at'ilasi, huku wakiegemea humo juu ya makochi.

Italian

saranno ornati di bracciali d'oro e vestiranno verdi abiti di seta finissima e di broccato e staranno appoggiati su alti divani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

hakuna tena wa kununua dhahabu yao, fedha, mawe ya thamani na lulu, kitani na nguo za rangi ya zambarau, hariri na nguo nyekundu; vyombo vya kila aina ya miti ya pekee, vyombo vya pembe za ndovu, vya miti ya thamani kubwa, vya shaba, chuma na marmari;

Italian

carichi d'oro, d'argento e di pietre preziose, di perle, di lino, di porpora, di seta e di scarlatto; legni profumati di ogni specie, oggetti d'avorio, di legno, di bronzo, di ferro, di marmo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,781,444,586 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK