Results for ingawaje translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

mmewaita watu hawa hapa ingawaje hawakuikufuru nyumba ya mungu wala kumtukana mungu wetu wa kike.

Italian

voi avete condotto qui questi uomini che non hanno profanato il tempio, né hanno bestemmiato la nostra dea

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninyi mnampenda ingawaje hamjamwona, na mnamwamini ingawa hamumwoni sasa. hivyo, mnafurahi kwa furaha tukufu isiyoelezeka,

Italian

voi lo amate, pur senza averlo visto; e ora senza vederlo credete in lui. perciò esultate di gioia indicibile e gloriosa

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale wanaotenda dhambi bila kuijua sheria ya mose wataangamia ingawaje hawajui sheria. na wale wanaotenda dhambi wakiwa wanaijua sheria watahukumiwa kisheria.

Italian

tutti quelli che hanno peccato senza la legge, periranno anche senza la legge; quanti invece hanno peccato sotto la legge, saranno giudicati con la legge

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waumini wa huko walijaribiwa sana kwa taabu; lakini furaha yao ilikuwa kubwa hivi hata wakawa wakarimu kupita kiasi, ingawaje walikuwa maskini sana.

Italian

nonostante la lunga prova della tribolazione, la loro grande gioia e la loro estrema povertà si sono tramutate nella ricchezza della loro generosità

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu hakumpa hata sehemu moja ya nchi hii iwe mali yake; hata hivyo, alimwahidia kumpa nchi hii iwe yake na ya wazawa wake, ingawaje wakati huu hakuwa na mtoto.

Italian

ma non gli diede alcuna proprietà in esso, neppure quanto l'orma di un piede, ma gli promise di darlo in possesso a lui e alla sua discendenza dopo di lui, sebbene non avesse ancora figli

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo awali herode mwenyewe alikuwa ameamuru yohane atiwe nguvuni, akamfunga gerezani. herode alifanya hivyo kwa sababu ya herodia ambaye herode alimwoa ingawaje alikuwa mke wa filipo, ndugu yake.

Italian

erode infatti aveva fatto arrestare giovanni e lo aveva messo in prigione a causa di erodìade, moglie di suo fratello filippo, che egli aveva sposata

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama vile mwili ulivyo mmoja wenye viungo vingi, na viungo hivyo vyote--ingawaje ni vingi--hufanya mwili mmoja, ndivyo ilivyo pia kwa kristo.

Italian

come infatti il corpo, pur essendo uno, ha molte membra e tutte le membra, pur essendo molte, sono un corpo solo, così anche cristo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

najua taabu zako; najua pia umaskini wako, ingawaje kwa kweli wewe ni tajiri; najua kashfa walizokufanyia wale wanaojiita wayahudi lakini si wayahudi wa kweli, bali ni kundi lake shetani.

Italian

conosco la tua tribolazione, la tua povertà - tuttavia sei ricco - e la calunnia da parte di quelli che si proclamano giudei e non lo sono, ma appartengono alla sinagoga di satana

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sheria iliwekwa kwa kuandikwa juu ya vipande vya mawe. ingawaje mwisho wake umekuwa kifo, utukufu wake ulikuwa mkuu mno hata wana wa israeli wasiweze kuutazama uso wa mose kwa sababu ya mng'ao wake. tena mng'ao huo ulikuwa wa muda tu. basi, ikiwa huduma ya kile ambacho kimesababisha kifo imefanyika kwa utukufu mwingi kiasi hicho,

Italian

se il ministero della morte, inciso in lettere su pietre, fu circonfuso di gloria, al punto che i figli d'israele non potevano fissare il volto di mosè a causa dello splendore pure effimero del suo volto

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,906,640,480 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK