Results for kumcha translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

hawajali kabisa kumcha mungu."

Italian

non c'è timore di dio davanti ai loro occhi.

Last Update: 2013-03-01
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hivi ndivyo mwenyezi mungu awalipavyo wenye kumcha.

Italian

così allah compensa coloro che [lo] temono,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nami nitakuongoa ufike kwa mola wako mlezi, upate kumcha.

Italian

sicché io ti guidi verso il tuo signore e tu [lo] tema?".

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwani wataona jinsi mwenendo wenu ulivyo safi na wa kumcha mungu.

Italian

considerando la vostra condotta casta e rispettosa

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika mwenyezi mungu yu pamoja na wenye kumcha, na watendao mema.

Italian

in verità allah è con coloro che lo temono e con coloro che fanno il bene.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila mtu anayetaka kuishi maisha ya kumcha mungu katika kuungana na kristo yesu lazima adhulumiwe.

Italian

del resto, tutti quelli che vogliono vivere piamente in cristo gesù saranno perseguitati

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunajua kwamba mungu hawasikilizi watu wenye dhambi, ila humsikiliza yeyote mwenye kumcha na kutimiza mapenzi yake.

Italian

ora, noi sappiamo che dio non ascolta i peccatori, ma se uno è timorato di dio e fa la sua volontà, egli lo ascolta

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi mlio amini! mcheni mwenyezi mungu kama ipasavyo kumcha; wala msife ila nanyi ni waislamu.

Italian

o voi che credete, temete allah come deve essere temuto e non morite non musulmani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maadamu kila kitu kitaharibiwa namna hiyo, je, ninyi mnapaswa kuwa watu wa namna gani? mnapaswa kuishi kitakatifu na kumcha mungu,

Italian

poiché dunque tutte queste cose devono dissolversi così, quali non dovete essere voi, nella santità della condotta e nella pietà

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa uwezo wake wa kimungu, mungu ametujalia mambo yote tunayohitaji, ili tuishi maisha ya kumcha mungu kwa kumjua yeye aliyetuita tuushiriki utukufu na wema wake yeye mwenyewe.

Italian

la sua potenza divina ci ha fatto dono di ogni bene per quanto riguarda la vita e la pietà, mediante la conoscenza di colui che ci ha chiamati con la sua gloria e potenza

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, sisi tunajua umuhimu wa kumcha bwana, na hivyo tunajitahidi kuwavuta watu. mungu anatujua waziwazi, nami natumaini kwamba nanyi pia mnatujua kinaganaga.

Italian

consapevoli dunque del timore del signore, noi cerchiamo di convincere gli uomini; per quanto invece riguarda dio, gli siamo ben noti. e spero di esserlo anche davanti alle vostre coscienze

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati huo kanisa likawa na amani popote katika yudea, galilaya, na samaria. lilijengwa na kukua katika kumcha bwana, na kuongezeka likitiwa moyo na roho mtakatifu.

Italian

la chiesa era dunque in pace per tutta la giudea, la galilea e la samaria; essa cresceva e camminava nel timore del signore, colma del conforto dello spirito santo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wapenzi wangu, tukiwa tumepewa ahadi hizi zote, na tujitakase na chochote kiwezacho kuchafua miili na roho zetu, tuwe watakatifu kabisa, na tuishi kwa kumcha mungu.

Italian

in possesso dunque di queste promesse, carissimi, purifichiamoci da ogni macchia della carne e dello spirito, portando a compimento la nostra santificazione, nel timore di dio

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je! mwenye kuweka msingi wa jengo lake juu ya kumcha mwenyezi mungu na radhi zake ni bora au mwenye kuweka msingi wa jengo lake juu ya ukingo wa shimo linalo burugunyika, na likaburugunyika naye katika moto wa jahannamu?

Italian

chi ha posto le fondamenta della moschea sul timor di allah per compiacerlo, non è forse migliore di chi ha posto le sue fondamenta su di un lembo di terra instabile e franosa, che la fa precipitare insieme con lui nel fuoco dell'inferno?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na pale tulipo unyanyua mlima juu yao ukawa kama kwamba ni kiwingu kilicho wafunika, na wakadhani kuwa utawaangukia, (tukawaambia): kamateni kwa nguvu tuliyo kupeni, na yakumbukeni yaliyomo ndani yake ili mpate kumcha mungu.

Italian

e quando elevammo il monte sopra di loro, come fosse un baldacchino, e temevano che sarebbe rovinato loro addosso, [dicemmo]: “afferrate con forza ciò che vi abbiamo dato e ricordatevi di quel che contiene. forse sarete timorati”.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,647,569,529 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK