Results for majumbani translation from Swahili to Italian

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Italian

Info

Swahili

majumbani

Italian

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

hukuwaona wale walio toka majumbani kwao kwa maelfu kwa kuogopa mauti?

Italian

non hai forse visto coloro che uscirono dalle loro case a migliaia per timore della morte?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kaeni majumbani kwenu, wala msijishauwe kwa majishauwo ya kijahilia ya kizamani.

Italian

rimanete con dignità nelle vostre case e non mostratevi come era costume ai tempi dell'ignoranza.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi tetemeko la ardhi likawanyakua, na wakaamkia majumbani mwao wamejifudikiza, wamekwisha kufa.

Italian

li colse il cataclisma e al mattino giacquero prostrati nelle loro dimore.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ingieni majumbani kupitia milangoni. na mcheni mwenyezi mungu ili mpate kufanikiwa.

Italian

entrate pure nelle case passando per le porte e temete allah, affinché possiate essere tra coloro che prospereranno.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi tetemeko la ardhi likawanyakua, na kulipo kucha wakawa majumbani mwao kifudifudi wamekwisha kufa.

Italian

li colse il cataclisma e al mattino giacquero bocconi nelle loro dimore.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

majumbani, wavulana walipendelewa kwa kupewa vyakula vizuri, wasichana walikuwa wakipewa masalia ya vyakula.

Italian

ai ragazzi veniva dato il cibo migliore che c'era in casa, mentre alle ragazze toccavano gli avanzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha nyinyi kwa nyinyi mnauwana, na mnawatoa baadhi yenu majumbani kwao, mkisaidiana kwa dhambi na uadui.

Italian

e ora invece vi uccidete l'un l'altro e scacciate dalle loro case alcuni dei vostri, dandovi man forte nel crimine e nella trasgressione.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: mola wetu mlezi ni mwenyezi mungu!

Italian

a coloro che senza colpa sono stati scacciati dalle loro case, solo perché dicevano: “allah è il nostro signore”.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na lau kuwa tumewaamrisha: jiueni, au tokeni majumbani kwenu, wasingeli fanya hayo ila wachache tu miongoni mwao.

Italian

se avessimo ordinato loro: “uccidetevi”; oppure: “abbandonate le vostre case”, solo un piccolo gruppo di loro l'avrebbe fatto.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wapewe mafakiri wahajiri walio tolewa majumbani mwao na mali yao kwa ajili ya kutafuta fadhila kutoka kwa mwenyezi mungu na radhi zake, na wanamsaidia mwenyezi mungu na mtume wake. hao ndio wa kweli.

Italian

[appartiene] inoltre agli emigrati bisognosi che sono stati scacciati dalle loro case e dai loro beni poiché bramavano la grazia e il compiacimento di allah, ausiliari di allah e del suo inviato: essi sono i sinceri;

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mpaka walipo fika kwenye bonde la wadudu chungu, alisema mdudu chungu mmoja: enyi wadudu chungu! ingieni majumbani mwenu, asikupondeni sulaiman na majeshi yake bila ya wao kutambua.

Italian

quando giunsero alla valle delle formiche, una formica disse: “o formiche, rientrate nelle vostre dimore, che non vi schiaccino inavvertitamente salomone e le sue truppe”.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,793,906,559 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK