From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ni nadra sana kuupuuza umuhimu na nafasi ya tafiti za sayansi katika kuleta maendeleo ya nchi.
il ruolo fondamentale della ricerca scentifica nell'economia mondiale raramente è messo in discussione.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hapa chini ni video kuhusu maono ya kikundi hicho cha wapiga kura wenye ulemavu na magonjwa nadra :
qui sotto si può visualizzare un video sulla missione e gli obiettivi dell'associazione dei votanti con disabilità e malattie rare :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kundi jipya la kisiasa linalowakilisha watu wenye ulemavu au magonjwa nadra limejiwasilisha kwa uchaguzi wa umoja wa ulaya leo mei 25.
un nuovo partito politico in rappresentanza di tutti coloro che sono affetti da disabilità o malattie rare si è presentato alle elezioni europee il 25 maggio.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na mziki huu wa kufoka unazungumzia mitaa hii ambayo huishi watu wa tabaka la chini na ambalo ni nadra sana kuongelewa na viongozi wa serikali na hata watu maarufu.
la classe operaia in tunisia si chiama houma...e questo rap narra di questi quartieri abitati dalla classe povera, raramente presa in considerazione da organi ufficiali e personalità celebri.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
zaidi ya hayo, mwaka huu harakati mbadala, tena mpya kabisa zimeanzishwa, zinazofahamika kama chama cha wapiga kura wenye ulemavu na magonjwa nadra-der .
in più, quest'anno è stata lanciata un'altra alternativa ai partiti tradizionali, l'associazione dei votanti con disabilità e malattie rare - der .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
"sisi ni kundi la watu walioathirika, moja kwa moja na ulemavu au ugonjwa nadra, tumeungana na lengo moja - kuboresha maisha ya wale walioathirika", alisema eduard carreras, mgombea wa kundi hilo, kijana mwenye umri wa miaka 25 kutoka girona, hispania, anayeugua ugonjwa wa kudhoofu kwa misuli.
"siamo un gruppo di persone affette, direttamente o indirettamente, da una disabilità o un disturbo raro, unite da un obiettivo comune - migliorare le vite dei malati", questo è quanto è stato dichiarato da eduard carreras, il candidato del partito, un venticinquenne di girona, spagna, che soffre di distrofia muscolare degenerativa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting