Results for wakashika translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

lakini wakitubu, wakashika sala, na wakatoa zaka, basi waachilieni.

Italian

se poi si pentono, eseguono l'orazione e pagano la decima, lasciateli andare per la loro strada.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakashika anasa za haya maisha duni, na wakasema: tutasamehewa!

Italian

sfruttarono i beni del mondo terreno dicendo: “presto saremo perdonati”.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi wakitubu na wakashika sala na wakatoa zaka, basi ni ndugu zenu katika dini.

Italian

se poi si pentono, eseguono l'orazione e pagano la decima, siano vostri fratelli nella religione.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wakashika agizo hilo, lakini wakawa wanajadiliana wao kwa wao maana ya kufufuka kutoka wafu.

Italian

ed essi tennero per sé la cosa, domandandosi però che cosa volesse dire risuscitare dai morti

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wale wanao kishikilia kitabu, na wakashika sala - hakika sisi hatupotezi ujira wa watendao mema.

Italian

quanto a coloro che si attengono saldamente al libro ed eseguono l'orazione, certamente non trascuriamo la ricompensa a quelli che si emendano.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika wale walio amini na wakatenda mema na wakashika sala na wakatoa zaka, wao watapata ujira wao kwa mola wao mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.

Italian

in verità coloro che avranno creduto e avranno compiuto il bene, avranno assolto l'orazione e versato la decima, avranno la loro ricompensa presso il loro signore. non avranno nulla da temere e non saranno afflitti.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika wale wanao soma kitabu cha mwenyezi mungu, na wakashika sala, na wakatoa kwa siri na kwa dhaahiri katika tulivyo waruzuku, hao hutaraji biashara isiyo bwaga.

Italian

in verità coloro che recitano il libro di allah, assolvono all'orazione e segretamente e in pubblico danno di ciò che abbiamo loro concesso, sperano in un commercio imperituro:

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika wanao amirisha misikiti ya mwenyezi mungu ni wale wanao muamini mwenyezi mungu, na siku ya mwisho, na wakashika sala, na wakatoa zaka, na wala hawamchi ila mwenyezi mungu.

Italian

badino alla cura delle moschee di allah solo coloro che credono in allah e nell'ultimo giorno, eseguono l'orazione e pagano la decima e non temono altri che allah.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ambao husubiri kwa kutaka radhi ya mola wao mlezi, na wakashika sala, na wakatoa, kwa siri na kwa uwazi, katika tulivyo wapa; na wakayaondoa maovu kwa wema.

Italian

coloro che perseverano nella ricerca del volto del loro signore, assolvono all'orazione, danno pubblicamente o in segreto di ciò di cui li abbiamo provvisti e respingono il male con il bene.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mara, yesu akakutana nao, akawasalimu: "salamu." hao wanawake wakamwendea, wakapiga magoti mbele yake, wakashika miguu yake.

Italian

ed ecco gesù venne loro incontro dicendo: «salute a voi». ed esse, avvicinatesi, gli presero i piedi e lo adorarono

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,941,738,320 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK