Results for walikutana translation from Swahili to Italian

Swahili

Translate

walikutana

Translate

Italian

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

alipokuwa bado njiani, watumishi wake walikutana naye, wakamwambia kwamba mwanawe alikuwa mzima.

Italian

proprio mentre scendeva, gli vennero incontro i servi a dirgli: «tuo figlio vive!»

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naam, walikutana ili wafanye yale ambayo ulikusudia na kupanga tangu mwanzo kwa uwezo wako na mapenzi yako.

Italian

per compiere ciò che la tua mano e la tua volontà avevano preordinato che avvenisse

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walikutana pamoja na anasi, kayafa, yohane, aleksanda na wengine waliokuwa wa ukoo wa kuhani mkuu.

Italian

il sommo sacerdote anna, caifa, giovanni, alessandro e quanti appartenevano a famiglie di sommi sacerdoti

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waliendelea kukutana pamoja kila siku hekaluni. lakini wakati wa kumega mkate, walikutana katika nyumba zao na wakakishiriki chakula hicho kwa furaha na moyo mkunjufu.

Italian

ogni giorno tutti insieme frequentavano il tempio e spezzavano il pane a casa prendendo i pasti con letizia e semplicità di cuore

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mbele ya majengo ya serikali waandamanaji walikutana na msusuru wa polisi na msusuru wa sanamu za kale -kazi za sanaa za kihistoria- zilizowekwa pale tangu mwaka 2007.

Italian

davanti al palazzo del governo, i dimostranti hanno trovato ad attenderli un cordone di polizia e uno di statue antiche—veri reperti archeologici— posti lì nel 2007.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walipokuwa wakimpeleka, walikutana na mtu mmoja, aitwaye simoni wa kurene, aliyekuwa anatoka shambani. basi, walimkamata, wakamtwika ule msalaba auchukue nyuma ya yesu.

Italian

mentre lo conducevano via, presero un certo simone di cirène che veniva dalla campagna e gli misero addosso la croce da portare dietro a gesù

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwaka huu, khusta na olivera walikutana nchini mexico katika shule ya uandishi wa weledi. kundi la wanazuoni na maprofesa kutoka katika shule hiyo waliandaa video yenye masimulizi ya watu hawa, ambayo ilizinduliwa hivi karibuni na kituo cha televisheni kiitwacho narco news tv.

Italian

quest'anno khusta e olivera si sono incontrati in messico presso la school of authentic journalism e un gruppo di studenti e professori della scuola ha girato un video con le loro storie, distribuito di recente da narco news tv.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walipokuwa njiani, walikutana na mtu mmoja aitwaye simoni, mwenyeji wa kurene. yeye alikuwa baba wa aleksanda na rufo, na wakati huo alikuwa akitoka shambani. basi, wakamlazimisha auchukue msalaba wa yesu.

Italian

allora costrinsero un tale che passava, un certo simone di cirene che veniva dalla campagna, padre di alessandro e rufo, a portare la croce

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yote hii ilianzia vienna, austria, tarehe 22 oktoba, ambapo kikundi kidogo cha wanafunzi walikutana ili kufanya maonyesho ya kushtua katikati ya jiji kwa ajili ya kupinga, na baada ya hapo wakaelekea kwenye chuo kikuu cha vienna ambapo walijaza kwa haraka na bila kupanga ukumbi wa kukutania.

Italian

tutto è iniziato a vienna il 22 ottobre 2009, quando un piccolo gruppo di studenti ha organizzato un flashmob di protesta in centro città, per poi dirigersi all'università di vienna dove ha spontaneamente occupato l'aula magna.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,951,749,428 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK