Results for wanaotaka translation from Swahili to Italian

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Italian

Info

Swahili

wanaotaka

Italian

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

nimewaandikieni mambo haya kuhusu wale wanaotaka kuwapotosha ninyi.

Italian

questo vi ho scritto riguardo a coloro che cercano di traviarvi

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inashangaza pale unapoabaini kuna wengi wanaotaka kurudi makwao lakini wanashindwa.

Italian

surprising, come scoprire quanti vorrebbero tornare a casa e non possono.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

licha ya hayo, kati yetu na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wanaotaka kuja kwenu kutoka huku wasiweze, wala wanaotaka kutoka kwenu kuja kwetu wasiweze.

Italian

per di più, tra noi e voi è stabilito un grande abisso: coloro che di qui vogliono passare da voi non possono, né di costì si può attraversare fino a noi

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatimaye, uhuru wa vyombo vya habari si kitu ambacho serikali au vyama vya upinzani vinaweza kujiamulia, lakini linahusu raia wanaodai kupata ukweli na waandishi wanaotaka kuripoti kuhusu ukweli.

Italian

in definitiva, la libertà di stampa non è qualcosa che il governo o i partiti di opposizione possono decidere a loro discrezione, ma ha a che fare con i cittadini che pretendono la verità e i giornalisti che vogliono raccontarla.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale wanaotaka kuonekana wazuri kwa mambo ya mwili ndio wanaotaka kuwalazimisha ninyi mtahiriwe. wanafanya hivyo kwa sababu moja tu: kusudi wao wenyewe wasije wakadhulumiwa kwa sababu ya msalaba wa kristo.

Italian

quelli che vogliono fare bella figura nella carne, vi costringono a farvi circoncidere, solo per non essere perseguitati a causa della croce di cristo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

picha zilizowekwa kwenye mtandao wa flickr na hassan ouazzani zinaonyesha utofauti mkubwa wa itikadi za kukemea rushwa, upendeleo, miundombinu duni na masharti magumu yanayowekwa dhidi ya wahitimu wa shahada ya kwanza wanaotaka kuendelea na elimu ya juu zaidi:

Italian

le immagini pubblicate su flickr da hassan ouazzani mostrano la varietà di slogan di denuncia contro la corruzione, i favoritismi, la povertà infrastrutturale e le gravose condizioni che gravano sui diplomati che vogliono accedere all'educazione universitaria:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, nitakapokuja nitayafichua mambo yote anayofanya, maneno mabaya anayotutolea na uongo anaosema juu yetu. isitoshe, yeye hukataa kuwakaribisha hao ndugu walio safarini, na hata huwazuia watu wengine wanaotaka kuwakaribisha, na hujaribu kuwafukuzia nje ya kanisa.

Italian

per questo, se verrò, gli rinfaccerò le cose che va facendo, sparlando contro di noi con voci maligne. non contento di questo, non riceve personalmente i fratelli e impedisce di farlo a quelli che lo vorrebbero e li scaccia dalla chiesa

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,739,695,133 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK