Results for akawachukua translation from Swahili to Japanese

Swahili

Translate

akawachukua

Translate

Japanese

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Japanese

Info

Swahili

akawachukua petro na wana wawili wa zebedayo, akaanza kuwa na huzuni na mahangaiko.

Japanese

そしてペテロとゼベダイの子ふたりとを連れて行かれたが、悲しみを催しまた悩みはじめられた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha akawachukua petro, yakobo na yohane; akaanza kufadhaika sana na kuhangaika.

Japanese

そしてペテロ、ヤコブ、ヨハネを一緒に連れて行かれたが、恐れおののき、また悩みはじめて、彼らに言われた、

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale mitume waliporudi, walimweleza yote waliyoyafanya. yesu akawachukua, wakaenda peke yao mjini bethsaida.

Japanese

使徒たちは帰ってきて、自分たちのしたことをすべてイエスに話した。それからイエスは彼らを連れて、ベツサイダという町へひそかに退かれた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

halafu akawachukua paulo na sila nyumbani kwake, akawapa chakula. yeye na jamaa yake yote wakafanya sherehe kwa vile sasa walikuwa wanamwamini mungu.

Japanese

さらに、ふたりを自分の家に案内して食事のもてなしをし、神を信じる者となったことを、全家族と共に心から喜んだ。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mara, mkuu wa jeshi akawachukua askari na jemadari, akalikabili lile kundi la watu. nao walipomwona mkuu wa jeshi na askari, wakaacha kumpiga paulo.

Japanese

そこで、彼はさっそく、兵卒や百卒長たちを率いて、その場に駆けつけた。人々は千卒長や兵卒たちを見て、パウロを打ちたたくのをやめた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wengine walikuwa wakaidi, wakakataa kuamini, wakaanza kuongea vibaya hadharani juu ya njia ya bwana. hapo paulo alivunja uhusiano nao, akawachukua pembeni wale wanafunzi wake, akawa anazungumza nao kila siku katika jumba la masomo la turano.

Japanese

ところが、ある人たちは心をかたくなにして、信じようとせず、会衆の前でこの道をあしざまに言ったので、彼は弟子たちを引き連れて、その人たちから離れ、ツラノの講堂で毎日論じた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, walikuwa njiani kwenda yerusalemu, na yesu alikuwa anawatangulia. wanafunzi wake walijawa na hofu, na watu waliofuata waliogopa. yesu akawachukua tena kando wale kumi na wawili, akaanza kuwaambia yale yatakayompata:

Japanese

さて、一同はエルサレムへ上る途上にあったが、イエスが先頭に立って行かれたので、彼らは驚き怪しみ、従う者たちは恐れた。するとイエスはまた十二弟子を呼び寄せて、自分の身に起ろうとすることについて語りはじめられた、

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,941,597,177 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK