Results for kando translation from Swahili to Japanese

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Japanese

Info

Swahili

kando

Japanese

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Japanese

Info

Swahili

yesu alitoka hapo akaenda kando ya ziwa galilaya, akapanda mlimani, akaketi.

Japanese

イエスはそこを去って、ガリラヤの海べに行き、それから山に登ってそこにすわられた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alikwenda tena kando ya ziwa. umati wa watu ukamwendea, naye akaanza kuwafundisha.

Japanese

イエスはまた海べに出て行かれると、多くの人々がみもとに集まってきたので、彼らを教えられた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku hiyohiyo, yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa.

Japanese

その日、イエスは家を出て、海べにすわっておられた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kumbe, kuhani mmoja akawa anapita barabara ileile, akamwona, akapita kando.

Japanese

するとたまたま、ひとりの祭司がその道を下ってきたが、この人を見ると、向こう側を通って行った。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mwanaadamu tunapo mneemesha hugeuka na kujitenga kando. na inapo mgusa shari hukata tamaa.

Japanese

われが恩恵を施せば,かれは背き去って遠ざかり,災厄が襲えば,絶望してしまう。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku moja yesu alikuwa amesimama kando ya ziwa genesareti, na watu wengi walikuwa wamemzunguka wakisongana wanalisikiliza neno la mungu.

Japanese

さて、群衆が神の言を聞こうとして押し寄せてきたとき、イエスはゲネサレ湖畔に立っておられたが、

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yule aliyekuwa anampiga mwenzake alimsukuma mose kando akisema: ni nani aliyekuweka wewe kuwa kiongozi na mwamuzi wa watu?

Japanese

すると、仲間をいじめていた者が、モーセを突き飛ばして言った、『だれが、君をわれわれの支配者や裁判人にしたのか。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tulipita kando yake polepole tukafika mahali paitwapo "bandari nzuri", karibu na mji wa lasea.

Japanese

その岸に沿って進み、かろうじて「良き港」と呼ばれる所に着いた。その近くにラサヤの町があった。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

watu wengi walifika kutoka katika miji ya kando kando ya yerusalemu, wakiwaleta wagonjwa wao na wale waliokuwa na pepo wachafu, nao wote wakaponywa.

Japanese

またエルサレム附近の町々からも、大ぜいの人が、病人や汚れた霊に苦しめられている人たちを引き連れて、集まってきたが、その全部の者が、ひとり残らずいやされた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliondoka nazareti, akaenda kafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya genesareti, mpakani mwa wilaya za zabuloni na naftali, akakaa huko.

Japanese

そしてナザレを去り、ゼブルンとナフタリとの地方にある海べの町カペナウムに行って住まわれた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wala hukuwa kando ya mlima tulipo nadi. lakini ni rehema itokayo kwa mola wako mlezi ili uwaonye watu wasio pata kufikiwa na mwonyaji kabla yako, huenda wakakumbuka.

Japanese

またわれが(ムーサーに)呼び掛けた時,あなたはシナイ(山)の傍らにいたわけではなかった。だがあなたの主からの慈悲として(クルアーンが授けられ),あなた以前に1人の警告者ももたなかった(マッカの)民に警告するため(あなたは遣わされたの)である。必ずかれらは,訓戒を受け入れるであろう。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alianza kufundisha tena akiwa kando ya ziwa. umati mkubwa wa watu ulimzunguka hata ikambidi aingie katika mashua na kuketi. watu wakawa wamekaa katika nchi kavu, kando ya ziwa.

Japanese

イエスはまたも、海べで教えはじめられた。おびただしい群衆がみもとに集まったので、イエスは舟に乗ってすわったまま、海上におられ、群衆はみな海に沿って陸地にいた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu aliwachukua kando wale kumi na wawili, akawaambia, "sikilizeni! tunakwenda yerusalemu na huko kila kitu kilichoandikwa na manabii kuhusu mwana wa mtu kitakamilishwa.

Japanese

イエスは十二弟子を呼び寄せて言われた、「見よ、わたしたちはエルサレムへ上って行くが、人の子について預言者たちがしるしたことは、すべて成就するであろう。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, wakafika yeriko, naye yesu alipokuwa anatoka katika mji huo akiwa na wanafunzi wake pamoja na umati mkubwa wa watu, kipofu mwombaji aitwaye bartimayo mwana wa timayo alikuwa ameketi kando ya barabara.

Japanese

それから、彼らはエリコにきた。そして、イエスが弟子たちや大ぜいの群衆と共にエリコから出かけられたとき、テマイの子、バルテマイという盲人のこじきが、道ばたにすわっていた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"siku moja nikiwa nasali mjini yopa, niliona maono; niliona kitu kama shuka kubwa likishushwa chini kutoka mbinguni likiwa limeshikwa pembe zake nne, likawekwa kando yangu.

Japanese

「わたしがヨッパの町で祈っていると、夢心地になって幻を見た。大きな布のような入れ物が、四すみをつるされて、天から降りてきて、わたしのところにとどいた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha nikaona kitu kama bahari ya kioo, imechanganywa na moto. nikawaona pia wale watu waliomshinda yule mnyama na sanamu yake na ambaye jina lake lilitajwa kwa ile tarakimu. watu hao walikuwa wamesimama kando ya hiyo bahari ya kioo, wakiwa na vinubi walivyopewa na mungu.

Japanese

またわたしは、火のまじったガラスの海のようなものを見た。そして、このガラスの海のそばに、獣とその像とその名の数字とにうち勝った人々が、神の立琴を手にして立っているのを見た。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na waulize khabari za mji ulio kuwa kando ya bahari, wakiivunja sabato (jumaamosi ya mapumziko). samaki walikuwa wakiwajia juu juu siku ya mapumziko yao, na siku zisio kuwa za kupumzika hawakuwa wakiwajia.

Japanese

海岸の町(の人びと)に就いて,かれらに問え。かれらが安息日(の禁)を破った時のことを,魚群はかれらの安息日に水面に現われやって来ていた。だがかれらが安息日の禁を守らなかった時は,それらはやって来なくなったではないか。このようにわれはかれらを試みた。かれらが主の掟に背いていたためである。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,759,400,544 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK