Results for kumsaidia translation from Swahili to Japanese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Japanese

Info

Swahili

wala hakuwa nacho kikundi cha kumsaidia badala ya mwenyezi mungu, wala mwenyewe hakuweza kujisaidia.

Japanese

かれには,アッラーの外に援助する人もなく,自分を守ることも出来なかった。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jitahidi kumsaidia mwana sheria zena na apolo ili waweze kuanza ziara zao na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji.

Japanese

法学者ゼナスと、アポロとを、急いで旅につかせ、不自由のないようにしてあげなさい。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanamke mjane kweli, asiye na mtu wa kumsaidia, amemwekea mungu tumaini lake na huendelea kusali na kumwomba msaada usiku na mchana.

Japanese

真にたよりのない、ひとり暮しのやもめは、望みを神において、日夜、たえず願いと祈とに専心するが、

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliyekuwa akiiba, asiibe tena, bali na aanze kufanya kazi njema kwa mikono yake, apate kuwa na kitu cha kumsaidia mtu aliye maskini.

Japanese

盗んだ者は、今後、盗んではならない。むしろ、貧しい人々に分け与えるようになるために、自分の手で正当な働きをしなさい。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na sema: alhamdulillah, himdi zote ni za mwenyezi mungu ambaye hana mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana rafiki wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake. na mtukuze kwa utukufu mkubwa.

Japanese

また言ってやるがいい。「アッラーに譲えあれ。かれは子を持たれない御方。また(かれの)大権には共有者もない御方。また(かれは)不面目な支援者(それは被創造物だから)を持たない御方であられる。(アッラーは完全自足者であられる)。」かれの偉大さ(栄光)を讃えなさい。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,932,193,404 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK