Results for kupoteza translation from Swahili to Japanese

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Japanese

Info

Swahili

kupoteza

Japanese

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Japanese

Info

Swahili

baadhi ya watu waliokuwa hapo walikasirika wakajisemea, "kwa nini kupoteza ovyo marashi haya?

Japanese

すると、ある人々が憤って互に言った、「なんのために香油をこんなにむだにするのか。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini, bila kupoteza wakati wako zaidi, tunakusihi kwa wema wako, usikilize taarifa yetu fupi.

Japanese

しかし、ご迷惑をかけないように、くどくどと述べずに、手短かに申し上げますから、どうぞ、忍んでお聞き取りのほど、お願いいたします。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ingalikuwa afadhali kwao kama wasingalijua kamwe njia hiyo ya uadilifu kuliko kujua na kisha kuiacha na kupoteza amri takatifu waliyopokea.

Japanese

義の道を心得ていながら、自分に授けられた聖なる戒めにそむくよりは、むしろ義の道を知らなかった方がよい。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anaye geuza shingo yake ili kupoteza watu waache njia ya mwenyezi mungu. duniani atapata hizaya, na siku ya kiyama tutamwonjesha adhabu ya kuungua.

Japanese

倣限な態度をとって,人びとをアッラーの道から迷わせようとする者がある。かれらは現世において,屈辱をなめ,またわれは審判の日に炎の懲罰を味わせる。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kama mkono wako wa kulia unakukosesha, ukate ukautupe mbali. afadhali zaidi kupoteza kiungo kimoja cha mwili, kuliko mwili wako wote uende katika moto wa jehanamu.

Japanese

もしあなたの右の手が罪を犯させるなら、それを切って捨てなさい。五体の一部を失っても、全身が地獄に落ち込まない方が、あなたにとって益である。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wajane kama hao huanza kupoteza wakati wao wakizurura nyumba hata nyumba; tena ubaya zaidi ni kwamba huanza kuwasengenya watu, na kujitia katika mambo ya watu wengine, huku wakisema mambo ambayo hawangepaswa kusema.

Japanese

その上、彼女たちはなまけていて、家々を遊び歩くことをおぼえ、なまけるばかりか、むだごとをしゃべって、いたずらに動きまわり、口にしてはならないことを言う。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, kama jicho lako la kulia linakukosesha, ling'oe ukalitupe mbali. afadhali zaidi kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako, kuliko mwili wako wote kutupwa katika moto wa jehanamu.

Japanese

もしあなたの右の目が罪を犯させるなら、それを抜き出して捨てなさい。五体の一部を失っても、全身が地獄に投げ入れられない方が、あなたにとって益である。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,774,569,237 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK