Results for kutokea translation from Swahili to Japanese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Japanese

Info

Swahili

tunataka kuepa lawama zinazoweza kutokea kuhusu usimamizi wetu juu ya zawadi hii karimu.

Japanese

そうしたのは、わたしたちが集めているこの寄附金のことについて、人にかれこれ言われるのを避けるためである。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jua litatiwa giza, na mwezi utakuwa mwekundu kama damu, kabla ya kutokea ile siku kuu na tukufu ya bwana.

Japanese

主の大いなる輝かしい日が来る前に、日はやみに月は血に変るであろう。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kukatokea umeme, kelele, ngurumo na tetemeko kubwa la ardhi ambalo halijapata kutokea tangu mungu alipomuumba mtu.

Japanese

すると、いなずまと、もろもろの声と、雷鳴とが起り、また激しい地震があった。それは人間が地上にあらわれて以来、かつてなかったようなもので、それほどに激しい地震であった。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana wakati huo kutakuwa na dhiki kuu ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo wa ulimwengu mpaka leo, wala haitapata kutokea tena.

Japanese

その時には、世の初めから現在に至るまで、かつてなく今後もないような大きな患難が起るからである。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na mungu mwenye heri na aliye mtawala pekee, mfalme wa wafalme, na bwana wa mabwana.

Japanese

時がくれば、祝福に満ちた、ただひとりの力あるかた、もろもろの王の王、もろもろの主の主が、キリストを出現させて下さるであろう。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na akaja mtu mbio kutokea upande wa mbali wa mjini, akasema: enyi watu wangu! wafuateni hawa walio tumwa.

Japanese

その時町の外れから一人の男が走って来て,言った。「皆さん,(アッラーから)遣わされたこの人たちに従いなさい。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na sasa imebakia tu kupewa tuzo la ushindi kwa maisha ya uadilifu, tuzo ambalo bwana hakimu wa haki, atanipa mimi siku ile na wala si mimi tu, ila na wale wote wanaotazamia kwa upendo kutokea kwake.

Japanese

今や、義の冠がわたしを待っているばかりである。かの日には、公平な審判者である主が、それを授けて下さるであろう。わたしばかりではなく、主の出現を心から待ち望んでいたすべての人にも授けて下さるであろう。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kutokana na ukuhani wa walawi, watu wa israeli walipewa sheria. sasa, kama huduma ya walawi ingalikuwa kamilifu hapangekuwa tena na haja ya kutokea ukuhani mwingine tofauti, ukuhani ambao umefuata utaratibu wa ukuhani wa melkisedeki, na si ule wa aroni.

Japanese

もし全うされることがレビ系の祭司制によって可能であったら――民は祭司制の下に律法を与えられたのであるが――なんの必要があって、なお、「アロンに等しい」と呼ばれない、別な「メルキゼデクに等しい」祭司が立てられるのであるか。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,906,615,660 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK