Results for mwenzako translation from Swahili to Japanese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Japanese

Info

Swahili

je, haikukupasa nawe kumhurumia mtumishi mwenzako kama nilivyokuhurumia?

Japanese

わたしがあわれんでやったように、あの仲間をあわれんでやるべきではなかったか』。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu peke yake ndiye mwenye kuweka sheria na kuhukumu. ni yeye peke yake anayeweza kuokoa na kuangamiza. basi, wewe ni nani hata umhukumu binadamu mwenzako?

Japanese

しかし、立法者であり審判者であるかたは、ただひとりであって、救うことも滅ぼすこともできるのである。しかるに、隣り人をさばくあなたは、いったい、何者であるか。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama mnaitimiza ile sheria ya utawala kama ilivyoandikwa katika maandiko matakatifu: "mpende binadamu mwenzako kama unavyojipenda wewe mwenyewe", mtakuwa mnafanya vema kabisa.

Japanese

しかし、もしあなたがたが、「自分を愛するように、あなたの隣り人を愛せよ」という聖書の言葉に従って、このきわめて尊い律法を守るならば、それは良いことである。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

au, unawezaje kumwambia mwenzako, ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi katika jicho lako, na huku huioni boriti iliyoko katika jicho lako mwenyewe? mnafiki wewe! toa kwanza boriti iliyoko jichoni mwako, na hivyo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilicho katika jicho la ndugu yako.

Japanese

自分の目にある梁は見ないでいて、どうして兄弟にむかって、兄弟よ、あなたの目にあるちりを取らせてください、と言えようか。偽善者よ、まず自分の目から梁を取りのけるがよい、そうすれば、はっきり見えるようになって、兄弟の目にあるちりを取りのけることができるだろう。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,927,605,330 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK