Results for nyingine translation from Swahili to Japanese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Japanese

Info

Swahili

na akamwona mara nyingine,

Japanese

本当にかれ(ムハンマド)は,再度の降下においても,かれ(ジブリール)を見たのである。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyingine zilianguka kwenye miti ya miiba, nayo ikakua na kuzisonga.

Japanese

ほかの種はいばらの地に落ちた。すると、いばらが伸びて、ふさいでしまった。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alipokuwa akipanda, nyingine zilianguka njiani, ndege wakaja wakazila.

Japanese

まいているうちに、道ばたに落ちた種があった。すると、鳥がきて食べてしまった。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 2
Quality:

Swahili

nyingine zilianguka penye mawe, na baada ya kuota zikanyauka kwa kukosa maji.

Japanese

ほかの種は岩の上に落ち、はえはしたが水気がないので枯れてしまった。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama yoshua angaliwapa watu hao hilo pumziko, mungu hangalisema baadaye juu ya siku nyingine.

Japanese

もしヨシュアが彼らを休ませていたとすれば、神はあとになって、ほかの日のことについて語られたはずはない。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu aliwaonya katika ndoto wasimrudie herode; hivyo wakarudi makwao kwa njia nyingine.

Japanese

そして、夢でヘロデのところに帰るなとのみ告げを受けたので、他の道をとおって自分の国へ帰って行った。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadaye yesu aliwatokea wanafunzi wawili akiwa na sura nyingine. wanafunzi hao walikuwa wanakwenda shambani.

Japanese

この後、そのうちのふたりが、いなかの方へ歩いていると、イエスはちがった姿で御自身をあらわされた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mashua nyingine kutoka tiberia zilifika mahali hapo watu walipokula ile mikate, bwana alipokwisha mshukuru mungu.

Japanese

しかし、数そうの小舟がテベリヤからきて、主が感謝されたのちパンを人々に食べさせた場所に近づいた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi. mbegu hizo ziliota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.

Japanese

ほかの種は土の薄い石地に落ちた。そこは土が深くないので、すぐ芽を出したが、

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini, mkewe akiwa anajua, anania akajiwekea sehemu ya fedha alizopata na ile sehemu nyingine akawakabidhi mitume.

Japanese

共謀して、その代金をごまかし、一部だけを持ってきて、使徒たちの足もとに置いた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kwa hakika hii ndiyo njia yangu iliyo nyooka. basi ifuateni, wala msifuate njia nyingine, zikakutengeni na njia yake.

Japanese

本当にこれはわれの正しい道である,それに従いなさい。(外の)道に従ってはならない。それらはかれの道からあなたがたを離れ去らせよう。このようにかれは命じられる。恐らくあなたがたは主を畏れるであろう。」

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nashangaa kwamba muda mfupi tu umepita, nanyi mnamwasi yule aliyewaita kwa neema ya kristo, mkafuata habari njema ya namna nyingine.

Japanese

あなたがたがこんなにも早く、あなたがたをキリストの恵みの内へお招きになったかたから離れて、違った福音に落ちていくことが、わたしには不思議でならない。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku nyingine ya sabato, yesu aliingia katika sunagogi, akafundisha. mle ndani mlikuwa na mtu ambaye mkono wake wa kuume ulikuwa umepooza.

Japanese

また、ほかの安息日に会堂にはいって教えておられたところ、そこに右手のなえた人がいた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tena hawali kitu chochote kutoka sokoni mpaka wamekiosha kwanza. kuna pia desturi nyingine walizopokea kama vile namna ya kuosha vikombe, sufuria na vyombo vya shaba.

Japanese

また市場から帰ったときには、身を清めてからでないと、食事をせず、なおそのほかにも、杯、鉢、銅器を洗うことなど、昔から受けついでかたく守っている事が、たくさんあった。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu anaweza kufikiria siku fulani kuwa ya maana zaidi kuliko nyingine; mtu mwingine aweza kuzifikiria siku zote kuwa sawa. kila mmoja na afuate msimamo wa akili yake.

Japanese

また、ある人は、この日がかの日よりも大事であると考え、ほかの人はどの日も同じだと考える。各自はそれぞれ心の中で、確信を持っておるべきである。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini naona kwamba kuna sheria nyingine inayofanya kazi mwilini mwangu, sheria ambayo inapingana na ile inayokubaliwa na akili yangu. hiyo inanifanya niwe mtumwa wa sheria ya dhambi ifanyayo kazi mwilini mwangu.

Japanese

わたしの肢体には別の律法があって、わたしの心の法則に対して戦いをいどみ、そして、肢体に存在する罪の法則の中に、わたしをとりこにしているのを見る。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema, "watu wangu, ondokeni kwake, ili msishirikiane naye katika dhambi zake, msije mkaipata adhabu yake.

Japanese

わたしはまた、もうひとつの声が天から出るのを聞いた、「わたしの民よ。彼女から離れ去って、その罪にあずからないようにし、その災害に巻き込まれないようにせよ。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu alisema "kweli nawaambieni, yeyote yule asiyeingia katika zizi la kondoo kwa kupitia mlangoni, bali hupenya na kuingia kwa njia nyingine, huyo ni mwizi na mnyang'anyi.

Japanese

よくよくあなたがたに言っておく。羊の囲いにはいるのに、門からでなく、ほかの所からのりこえて来る者は、盗人であり、強盗である。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maana, amri hizi: "usizini; usiue; usitamani;" na nyingine zote, zimo katika amri hii moja: "mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe."

Japanese

「姦淫するな、殺すな、盗むな、むさぼるな」など、そのほかに、どんな戒めがあっても、結局「自分を愛するようにあなたの隣り人を愛せよ」というこの言葉に帰する。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,647,204,491 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK