Results for sadaka translation from Swahili to Japanese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Japanese

Info

Swahili

sadaka

Japanese

生贄

Last Update: 2014-05-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

sadaka za kuteketezwa au za kuondoa dhambi hazikupendezi.

Japanese

あなたは燔祭や罪祭を好まれなかった。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na miongoni mwao wapo wanao kusengenya katika kugawa sadaka. wanapo pewa wao huridhika.

Japanese

かれらの中には,施し(の配分)のことに就いてあなたを謗る者がいる。それを与えられた者は,喜ぶが,それを与えられないならば,見なさい。直ぐに怒り出す。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

basi tupimie kipimo na fanya kama unatupa sadaka. hakika mwenyezi mungu huwalipa watoao sadaka.

Japanese

それでかれらは,(また)かれ(ユースフ)の許にやって来て言った。「申し上げます。災難(機(鐘?))がわたしたちと一族の者に降りかかったので,ほんの粗末な品を持って参いりました。(桝?)目を十分にして,わたしたちに施して下さい。本当にアッラーは施しを与える者を報われます。」

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

nanyi waume, wapendeni wake zenu kama kristo alivyolipenda kanisa, akajitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake.

Japanese

夫たる者よ。キリストが教会を愛してそのためにご自身をささげられたように、妻を愛しなさい。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi ukatoe sadaka yako.

Japanese

その供え物を祭壇の前に残しておき、まず行ってその兄弟と和解し、それから帰ってきて、供え物をささげることにしなさい。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

chukua sadaka katika mali zao, uwasafishe na uwatakase kwazo, na uwaombee rehema. hakika maombi yako ni utulivu kwao.

Japanese

かれらの財産から施しを受け取らせるのは,あなたが,かれらをそれで清めて罪滅しをさせ,またかれらのために祈るためである。本当にあなたの祈りは,かれらへの安らぎである。アッラーは全聴にして全知であられる。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

baadhi ya wanafunzi walikuwa wanazungumza juu ya hekalu, jinsi lilivyopambwa kwa mawe ya thamani, pamoja na sadaka zilizotolewa kwa mungu. yesu akasema,

Japanese

ある人々が、見事な石と奉納物とで宮が飾られていることを話していたので、イエスは言われた、

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na miongoni mwao wapo walio muahidi mwenyezi mungu kwa kusema: akitupa katika fadhila yake hapana shaka tutatoa sadaka, na tutakuwa katika watendao mema.

Japanese

かれらの中アッラーと約束を結んだ者は(言った)。「もしかれが,わたしたちに恩恵を与えれば,わたしたちは必ず施しをなし,必ず正しい者の仲間になるでしょう。」

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kwa hakika wanaume wanao toa sadaka, na wanawake wanao toa sadaka, na wakamkopesha mwenyezi mungu mkopo mwema, watazidishiwa mardufu na watapata malipo ya ukarimu.

Japanese

施しをする男と施しをする女とアッラーに善い貸を,貸付けする者には,かれはそれを倍にされ,(その外に)気前のよい報奨を授けるであろう。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

je! hawajui ya kwamba mwenyezi mungu anapokea toba ya waja wake, na anazikubali sadaka, na kwamba mwenyezi mungu ni mwingi wa kupokea toba na mwenye kurehemu?

Japanese

アッラーが,しもべたちの悔悟を赦し,また施しを受け入れられることをかれらは知らないのか。またアッラーこそは,度々悔悟を赦される御方,情け深い方であられることを(知らないのか)。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mkizidhihirisha sadaka ni vizuri; na mkizificha mkawapa mafakiri kwa siri basi hivyo ni kheri kwenu, na yatakuondoleeni baadhi ya maovu yenu. na mwenyezi mungu anazo khabari za mnayo yatenda.

Japanese

あなたがたは施しを,あらわにしても結構だが,人目を避けて貧者に与えれば更によい。それはあなたがたの罪悪(の汚)の一部を,払い清めるであろう。アッラーはあなたがたの行うことを熟知されておられる。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na atakaye kuwa mgonjwa au ana vya kumuudhi kichwani mwake basi atoe fidiya kwa kufunga au kwa kutoa sadaka au kuchinja wanyama. na mtakapo kuwa salama, basi mwenye kujistarehesha kwa kufanya umra kisha ndio akahiji, basi achinje mnyama aliye mwepesi kumpata.

Japanese

アッラーのために,巡礼〔ハッジ〕と小巡礼〔オムラ〕を全うしなさい。もしあなたがたが妨げられたならば,容易に得られる供物を(送りなさい)。そして供物が犠牲を捧げる場に到着するまで,あなたの頭を剃ってはならない。あなたがたの中に病人,または頭(の皮膚)だ患いのある者は,斎戒をするか施しをなし,または犠牲を捧げて(頭を刺る)償ないとしなさい。またあなたがたが故障もないのに小巡礼をして,巡礼までの間を楽しむ者は,容易に得られる犠牲を捧げなければならない。もしそれを捧げることが不可能な時は,巡礼中に3日,帰ってから7日,合せて10日間(の斎戒)をしなさい。これは聖なるマスジド(の所在地マッカ)に,家を持たない者に対する淀である。あなたがたはアッラーを畏れ,またアッラーの懲罰は本当に厳しいことを知りなさい。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na toeni katika tulicho kupeni kabla hayajamfikia mmoja wenu mauti, tena hapo akasema: mola wangu mlezi! huniakhirishi muda kidogo nipate kutoa sadaka, na niwe katika watu wema?

Japanese

死があなたがたを理う前に,われが与えたものから施しなさい。かれは,「主よ,何故あなたは暫くの間の猶予を与えられないのですか。そうすればわたしは喜捨〔サダカ〕をして,善い行いの者になりますのに。」と言う。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

hakika waislamu wanaume na waislamu wanawake, na waumini wanaume na waumini wanawake, na wat'iifu wanaume na wat'iifu wanawake, na wasemao kweli wanaume na wanawake, na wanao subiri wanaume na wanawake, na wanyenyekevu wanaume na wanawake, na watoao sadaka wanaume na wanawake, na wanao funga wanaume na wanawake, na wanao jihifadhi tupu zao wanaume na wanawake, na wanao mdhukuru mwenyezi mungu kwa wingi wanaume na wanawake, mwenyezi mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa.

Japanese

本当にムスリムの男と女,信仰する男と女,献身的な男と女,正直な男と女,堅忍な男と女,謙虚な男と女,施しをする男と女,斎戒(断食)する男と女,貞節な男と女,アッラーを多く唱念する男と女,これらの者のために,アッラーは罪を赦し,偉大な報奨を準備なされる。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,944,429,923 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK