Results for tulio translation from Swahili to Japanese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Japanese

Info

Swahili

wale tulio wapa kitabu kabla yake wanakiamini hiki.

Japanese

われがこれ以前に啓典を授けた者たちはよく信仰している。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na haiwi kwa wana-mji tulio uangamiza, ya kwamba hawatarejea,

Japanese

われが滅ぼした都市には禁令が(強制的に)あって,かれらは帰って来られないであろう。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

au tutakuonyesha tulio waahidi. nasi bila ya shaka tuna uweza juu yao.

Japanese

またかれらに約束したことを,あなたに見せることも出来る。われがかれらを制圧するなどいともたやすい。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mola wetu mlezi! tulizidiwa na uovu wetu na tukawa watu tulio potea.

Japanese

かれらは言う。「主よ,わたしたちは不運に打ち負け,迷っていました。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika sisi ndio tulio teremsha ukumbusho huu, na hakika sisi ndio tutao ulinda.

Japanese

本当にわれこそは,その訓戒を下し,必ずそれを守護するのである。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ili kwa hayo tuihuishe nchi iliyo kufa, na tuwanyweshe wanyama na watu wengi tulio waumba.

Japanese

われはそれで死んだ大地に生命を与え,またわれが創った無数の家畜や人間に飲ませてやる。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huo ndio mwendo kwa mitume tulio watuma kabla yako. wala hupati mabadiliko katika mwendo wetu.

Japanese

あなた以前に遺わした使徒たちに対する(わが)慣行は(皆,こう)であった。あなたはわが慣行に変化を見い出すことは出来ない。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na waulize watu wa mji tulio kuwako, na msafara tulio kuja nao. na hakika sisi tunasema kweli.

Japanese

それで(あなたは),わたしたちがいた町て尋ねるか,またはそこを往来した隊商に問いなさい。わたしたちは真実を言っている(ことが分ります)』。」

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sisi tulio imara katika imani tunapaswa kuwasaidia wale walio dhaifu wayakabili matatizo yao. tusijipendelee sisi wenyewe tu.

Japanese

わたしたち強い者は、強くない者たちの弱さをになうべきであって、自分だけを喜ばせることをしてはならない。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi walipo kuja wachawi wakamwambia firauni: je! tutapata ujira tukiwa sisi ndio tulio shinda?

Japanese

魔術師たちはやって来るなり,フィルアウンに言った。「わたしたちが勝てば,必ず褒美があるでしょうか。」

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mitume tulio kwisha kukuhadithia kabla yake, na mitume wengine hatukukuhadithia. na mwenyezi mungu alinena na musa kwa maneno.

Japanese

ある使徒たちに就いては,先にわれはあなたに告げたが,未だあなたに告げていない使徒たちもいる。そしてムーサーには,親しくアッラーは語りかけられた。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nasi hatukuwatuma kabla yako ila watu wanaume tulio wapa wahyi (ufunuo). basi waulizeni wenye ukumbusho kama nyinyi hamjui

Japanese

われがあなたより以前に遣わし,啓示を授けたのは(天使ではなく)人間に外ならない。あなたがたがもし分らないなら,以前に訓戒(の啓典)を与えられている民(ユダヤ,キリスト教徒)に間うがいい。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kabla yako hatukuwatuma ila watu wanaume tulio wapa wahyi (ufunuo). basi waulizeni wenye ilimu ikiwa nyinyi hamjui.

Japanese

あなた以前に,われが啓示を授けて遣わした使徒たちも,人間に過ぎなかった。もしあなたがた,これが分らないなら訓戒を受けた民に聞け。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na waulize mitume wetu tulio watuma kabla yako: je! tulifanya miungu mingine iabudiwe badala ya rah'mani?

Japanese

あなた以前にわれが遣わした,使徒たちに問いなさい。われは,慈悲深き御方以外に仕えるべき神々を置いたのか。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na hakika tumewatukuza wanaadamu, na tumewapa vya kupanda nchi kavu na baharini, na tumewaruzuku vitu vizuri vizuri, na tumewafadhilisha kwa fadhila kubwa kuliko wengi miongoni mwa tulio waumba.

Japanese

われはアーダムの子孫を重んじて海陸にかれらを運び,また種々の良い(暮らし向きのための)ものを支給し,またわれが創造した多くの優れたものの上に,かれらを優越させたのである。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, nimtafute hakimu ghairi ya mwenyezi mungu, naye ndiye aliye kuteremshieni kitabu kilicho elezwa waziwazi? na hao tulio wapa kitabu wanajua ya kwamba kimeteremshwa na mola wako mlezi kwa haki.

Japanese

(言ってやるがいい。)「どうしてわたしがアッラー以外に裁きを求めようか。かれこそは,詳細に説明された啓典を,あなたがたに下された方ではないか。」われが啓典を授けた程の者ならば,それがあなたの主から,真理によって下されたことを知っている。だからあなたは疑う者の仲間になってはならない。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi mbona hawakuwamo katika watu wa kabla yenu wenye vyeo na wasaa wanao kataza uharibifu katika nchi, isipo kuwa wachache tu, ambao ndio tulio waokoa? na walio dhulumu walifuata starehe zao, na wakawa ni wakosefu.

Japanese

あなたがたより以前の世代の者の間には,何故かれらの中われが救った少数の者を除いては,地上の退廃を押える有徳な者たちがいなかったのであろうか。不義を行う者たちは,享楽を貪り罪を犯していた。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hao ndio alio waneemesha mwenyezi mungu miongoni mwa manabii katika uzao wa adam, na katika uzao wa wale tulio wapandisha pamoja na nuhu, na katika uzao wa ibrahim na israil, na katika wale tulio waongoa na tukawateuwa. wanapo somewa aya za mwingi wa rehema huanguka kusujudu na kulia.

Japanese

これらの者は,アッラーが恩恵を施された預言者たちで,アーダムの子孫で,われがヌーフと一緒に(方舟で)運んだ者たちの子孫であり,またイブラーヒームとイスラーイール(ヤアコーブ)の子孫の中,われが選んで導いた者たちである。慈悲深き御方の印がかれらに読誦される度に,かれらは伏してサジダし涙を流す。〔サジダ〕

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,951,062,799 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK