Results for unabii translation from Swahili to Japanese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Japanese

Info

Swahili

msidharau unabii.

Japanese

預言を軽んじてはならない。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alikuwa na binti watatu ambao walikuwa na kipaji cha unabii.

Japanese

この人に四人の娘があったが、いずれも処女であって、預言をしていた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hao ndio tulio wapa vitabu na hukumu na unabii. ikiwa hawa watayakataa hayo, basi tumekwisha yawakilisha kwa watu wasio yakataa.

Japanese

これらの者はわれが,啓典と識見と預言の天分を授けた者である。それでもしかれらがこれを信じないならば,われはこれらを拒否しない(別の)者にこれを委ねるであろう。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"sikiliza! naja upesi. heri yake anayeyazingatia maneno ya unabii yaliyo katika kitabu hiki."

Japanese

見よ、わたしは、すぐに来る。この書の預言の言葉を守る者は、さいわいである」。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na hakika tuliwapa wana wa israili kitabu na hukumu na unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.

Japanese

本当にわれは,イスラエルの子孫に啓典と英知と預言の天分を授け,様々の善い給養を与え,また諸民族よりも卓越させた。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanangu timotheo, nakukabidhi amri hii kufuatana na maneno ya unabii yaliyosemwa zamani juu yako. yatumie maneno hayo yawe silaha yako katika kupigana vita vizuri,

Japanese

わたしの子テモテよ。以前あなたに対してなされた数々の預言の言葉に従って、この命令を与える。あなたは、これらの言葉に励まされて、信仰と正しい良心とを保ちながら、りっぱに戦いぬきなさい。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na bila ya shaka tulimtuma nuhu na ibrahim, na tukaweka katika dhuriya zao unabii na kitabu. basi wapo miongoni mwao walio ongoka, na wengi katika wao ni wapotovu.

Japanese

われは,以前,ヌーフとイブラーヒームを遣わした。またわれは両者の子孫に預言の天分と啓典を授けた。それでかれらの或る者は導かれた。だが,多くの者はアッラーの掟に背く者たちであった。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mimi yohane nawapa onyo wote wanaosikia maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki: mtu yeyote akiongeza chochote katika mambo haya, mungu atamwongezea mabaa yaliyoandikwa katika kitabu hiki.

Japanese

この書の預言の言葉を聞くすべての人々に対して、わたしは警告する。もしこれに書き加える者があれば、神はその人に、この書に書かれている災害を加えられる。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mtu yeyote akipunguza chochote katika maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki, mungu atamnyang'anya sehemu yake katika ule mti wa uzima, na sehemu yake katika mji mtakatifu, ambavyo vimeelezwa katika kitabu hiki.

Japanese

また、もしこの預言の書の言葉をとり除く者があれば、神はその人の受くべき分を、この書に書かれているいのちの木と聖なる都から、とり除かれる。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

haiwezi kuwa mtu aliye pewa na mwenyezi mungu kitabu na hikima na unabii kisha awaambie watu: kuweni wa kuniabudu mimi badala ya mwenyezi mungu. bali atawaambia: kuweni wenye kumuabudu mola mlezi wa viumbe vyote, kwa kuwa nyinyi mnafundisha kitabu na kwa kuwa mnakisoma.

Japanese

啓典と英知と預言者としての天分をアッラーからいただいた一人の人間でありながら,後になって人びとに向い,「あなたがたはアッラーの外に,わたしを崇拝しなさい。」とは言えない。むしろ「あなたがたは,主の忠実なしもベとなりなさい。あなたがたは啓典を教えられているのである。それを誠実に学びなさい。」と(言うべきである)。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,899,366,181 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK