Results for wanafanya translation from Swahili to Japanese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Japanese

Info

Swahili

bali unastaajabu, na wao wanafanya maskhara.

Japanese

あなたは感嘆しているというのに,かれらは嘲笑する。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wanapo ona ishara, wanafanya maskhara.

Japanese

またかれらは,印を見ても嘲笑するばかり。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ambao wanafanya ufisadi katika nchi, wala hawatengenezi.

Japanese

かれらは地上に危害を引き起す者で,(悪弊を)矯正する者ではありません。」

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

au tumewateremshia hoja ambayo kwayo ndio wanafanya ushirikina?

Japanese

われに配しているものを支持する権威を,われがかれらに下したとでもいうのか。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hayawafikilii mawaidha mapya kutoka kwa mola wao mlezi ila huyasikiliza na huku wanafanya mchezo.

Japanese

かれらの主から新しい訓戒が来る度に,かれらはそれを笑い草として聞くに過ぎない。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na katika tulio waumba wako watu wanao ongoza kwa haki, na kwayo wanafanya uadilifu.

Japanese

またわれが創った者の中には,真理によって(人を)導き,またそれに基づき公正に行う一団がある。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na katika kaumu ya musa lipo kundi linao waongoa watu kwa haki na kwa haki wanafanya uadilifu.

Japanese

ムーサーの民の中で,真理によって(人びとを)導き,またそれによって裁いた一団がある。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni wale ambao juhudi yao katika maisha ya dunia imepotea bure, nao wanadhani kwamba wanafanya kazi nzuri.

Japanese

つまり自分では善いことをしていると,かれらは考えているが,現世の生活においての努力が,凡て間違った道に行ってしまうような者たちである。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bali lawama ipo kwa wale wanao wadhulumu watu, na wanafanya jeuri katika nchi bila ya haki. hao watapata adhabu iliyo chungu.

Japanese

他人に悪を行い,また度を越した復讐を企て地上を騒がす者たち,かれらに対する(アッラーの)罰は痛ましい懲罰があるだけである。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ambao wanafanya ubakhili na wanaamrisha watu ubakhili, na wanaficha fadhila alizo wapa mwenyezi mungu. na tumewaandalia makafiri adhabu ya fedheha,

Japanese

かれらは吝嗇な者たちで,人びとにも吝嗇を勧め,アッラーがかれらに与えられた恩恵を隠すためにわが信仰を拒む者のためには,恥ずべき懲罰を準備しておいた。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ambao wanafanya ubakhili, na wanaamrisha watu wafanye ubakhili. na anaye geuka, basi mwenyezi mungu ni mwenye kujitosha, msifiwa.

Japanese

こんな者は物惜しみであるから,人びとにも物惜しみを勧める。仮令誰か(主の道から)背き去っても,アッラーは元々満ち足られる御方であり,讃美すべき御方である。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

utawaona wengi wao wanafanya urafiki na walio kufuru. hakika ni maovu yaliyo tangulizwa na nafsi zao hata mwenyezi mungu amewakasirikia, nao watadumu katika adhabu.

Japanese

見なさい,かれらの多くは,不信心な者と親密にしている。何と醜悪なことを自ら進んでするものよ。アッラーはかれらに激怒なされ,かれらは懲罰の中に永遠に住むであろう。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika juju-wa-maajuju wanafanya uharibifu katika nchi. basi je, tukulipe ujira ili utujengee baina yetu na wao ngome?

Japanese

かれらは言った。「ズ・ル・カルナインよ,ヤァジュ―ジュとマァジュージュが,この国で悪を働いています。それでわたしたちは税を納めますから,防壁を築いて下さいませんか。」

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ambao wanafanya uchafu miongoni mwa wanawake wenu, washuhudizieni watu wane katika nyinyi. watakapo shuhudia, basi wazuieni majumbani mpaka wafishwe na mauti au mwenyezi mungu awatolee njia nyengine.

Japanese

あなたがたの女たちの中,不貞を働いた者には,あなたがたの中から,かの女らに対し4名の証人を立てなさい。かれらがもしこれを証言したならば,かの女らを家の中に監禁しなさい。死がかの女らを連れ去るか,アッラーがかの女らのため,(別の)道を決められるまで。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanajua kwamba sheria ya mungu yasema kwamba watu wanaoishi mithili hiyo, wanastahili kifo. zaidi ya hayo, siyo tu kwamba wanafanya mambo hayo wao wenyewe, bali hata huwapongeza wale wanaofanya mambo hayohayo.

Japanese

彼らは、こうした事を行う者どもが死に価するという神の定めをよく知りながら、自らそれを行うばかりではなく、それを行う者どもを是認さえしている。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wale wanao vunja ahadi ya mwenyezi mungu baada ya kuzifunga, na wanakata aliyo amrisha mwenyezi mungu yaungwe, na wanafanya fisadi katika nchi: hao ndio watakao pata laana, na watapata nyumba mbaya.

Japanese

だがアッラーに誓った後,その契約を破り,アッラーが結べと命じられる者と縁を切り,地上で悪を行った者には呪いがあり,悪い住まいに入るであろう。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,652,165,056 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK