From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
basi, anasi akampeleka yesu akiwa amefungwa, kwa kuhani mkuu kayafa.
et misit eum annas ligatum ad caiaphan pontifice
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, wakaenda, wakamkuta mwana punda barabarani amefungwa mlangoni. walipokuwa wakimfungua,
et abeuntes invenerunt pullum ligatum ante ianuam foris in bivio et solvunt eu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji.
erat autem qui dicebatur barabbas qui cum seditiosis erat vinctus qui in seditione fecerant homicidiu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
akawaambia, "nendeni hadi kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. wafungueni mkawalete kwangu.
dicens eis ite in castellum quod contra vos est et statim invenietis asinam alligatam et pullum cum ea solvite et adducite mih
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mwanamke huwa amefungwa na mumewe kwa muda wote mumewe aishipo. lakini mumewe akifa, mama huyo yuko huru, na akipenda anaweza kuolewa na mtu yeyote, mradi tu iwe kikristo.
mulier alligata est quanto tempore vir eius vivit quod si dormierit vir eius liberata est cui vult nubat tantum in domin
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
akawaambia, "nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu. mtakapokuwa mnaingia humo, mtakuta mwana punda amefungwa ambaye bado hajatumiwa na mtu. mfungueni mkamlete.
et ait illis ite in castellum quod est contra vos et statim introeuntes illuc invenietis pullum ligatum super quem nemo adhuc hominum sedit solvite illum et adducit
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
huyo aliyekuwa amekufa akatoka nje, huku amefungwa sanda miguu na mikono, na uso wake umefunikwa. yesu akawaambia, "mfungueni, mkamwache aende zake."
et statim prodiit qui fuerat mortuus ligatus pedes et manus institis et facies illius sudario erat ligata dicit iesus eis solvite eum et sinite abir
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting