Results for dhamiri translation from Swahili to Latin

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

wanapaswa kuzingatia kwa dhamiri njema ukweli wa ndani wa imani.

Latin

habentes mysterium fidei in conscientia pur

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawana dhamiri, hawatimizi ahadi zao, hawana wema wala huruma kwa wengine.

Latin

insipientes inconpositos sine affectione absque foedere sine misericordi

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo ninajitahidi daima kuwa na dhamiri njema mbele ya mungu na mbele ya watu.

Latin

in hoc et ipse studeo sine offendiculo conscientiam habere ad deum et ad homines sempe

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama mkiwakosesha ndugu zenu jinsi hiyo na kuzijeruhi dhamiri zao dhaifu, mtakuwa mmemkosea kristo.

Latin

sic autem peccantes in fratres et percutientes conscientiam eorum infirmam in christo peccati

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tuombeeni na sisi. tuna hakika kwamba tunayo dhamiri safi, maana twataka kufanya lililo sawa daima.

Latin

orate pro nobis confidimus enim quia bonam conscientiam habemus in omnibus bene volentes conversar

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shabaha ya amri hii ni kuhimiza mapendo yatokayo katika moyo safi, dhamiri njema, na imani ya kweli.

Latin

finis autem praecepti est caritas de corde puro et conscientia bona et fide non fict

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wapenzi wangu, kama dhamiri yetu haina lawama juu yetu, basi, twaweza kuwa na uthabiti mbele ya mungu,

Latin

carissimi si cor non reprehenderit nos fiduciam habemus ad deu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninamshukuru mungu ambaye ninamtumikia kwa dhamiri safi kama walivyofanya wazee wangu; namshukuru kila ninapokukumbuka daima katika sala zangu.

Latin

gratias ago deo cui servio a progenitoribus in conscientia pura quam sine intermissione habeam tui memoriam in orationibus meis nocte ac di

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana, hata kama dhamiri yetu yatuhukumu, twajua kwamba mungu ni mkuu zaidi kuliko dhamiri, na kwamba yeye ajua kila kitu.

Latin

quoniam si reprehenderit nos cor maior est deus corde nostro et novit omni

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila kitu ni safi kwa watu walio safi; lakini hakuna chochote kilicho safi kwa wale waliochafuliwa na wasioamini, maana dhamiri na akili zao zimechafuliwa.

Latin

omnia munda mundis coinquinatis autem et infidelibus nihil mundum sed inquinatae sunt eorum et mens et conscienti

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini fanyeni hivyo kwa upole na heshima. muwe na dhamiri njema, kusudi mnapotukanwa, wale wanaosema ubaya juu ya mwenendo wenu mwema kama wakristo, waone aibu.

Latin

sed cum modestia et timore conscientiam habentes bonam ut in eo quod detrahunt vobis confundantur qui calumniantur vestram bonam in christo conversatione

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana, mtu ambaye dhamiri yake ni dhaifu, akikuona wewe mwenye ujuzi unakula vyakula hivyo ndani ya hekalu la sanamu, je, hatatiwa moyo wa kula vyakula vilivyotambikiwa sanamu?

Latin

si enim quis viderit eum qui habet scientiam in idolio recumbentem nonne conscientia eius cum sit infirma aedificabitur ad manducandum idolothyt

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mathalan: watu wa mataifa mengine hawana sheria ya mose; lakini kila wanapotimiza matakwa ya sheria wakiongozwa na dhamiri zao, wao wenyewe wanakuwa kipimo cha sheria ingawa hawaijui sheria.

Latin

cum enim gentes quae legem non habent naturaliter quae legis sunt faciunt eiusmodi legem non habentes ipsi sibi sunt le

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sisi tunajivunia kitu kimoja: dhamiri yetu inatuhakikishia kwamba tumeishi ulimwenguni hapa, na hasa kati yenu, kwa unyenyekevu na unyofu tuliojaliwa na mungu; hatukuongozwa na hekima ya kibinadamu bali neema ya mungu.

Latin

nam gloria nostra haec est testimonium conscientiae nostrae quod in simplicitate et sinceritate dei et non in sapientia carnali sed in gratia dei conversati sumus in mundo abundantius autem ad vo

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini, kwa damu ya kristo, mambo makuu zaidi hufanyika! kwa nguvu za roho wa milele, kristo alijitolea mwenyewe dhabihu kamilifu kwa mungu. damu yake itatutakasa dhamiri zetu kutokana na matendo yaletayo kifo, ili tupate kumtumikia mungu aliye hai.

Latin

quanto magis sanguis christi qui per spiritum sanctum semet ipsum obtulit inmaculatum deo emundabit conscientiam vestram ab operibus mortuis ad serviendum deo vivent

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,944,484,569 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK