From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.
ubi enim thesaurus vester est ibi et cor vestrum eri
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ndani yake zimefichika hazina zote za hekima na elimu.
in quo sunt omnes thesauri sapientiae et scientiae abscondit
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
maana pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.
ubi enim est thesaurus tuus ibi est et cor tuu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu hawawezi kuiharibu, wala wezi hawaingii wakaiba.
thesaurizate autem vobis thesauros in caelo ubi neque erugo neque tinea demolitur et ubi fures non effodiunt nec furantu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya hekalu,
respiciens autem vidit eos qui mittebant munera sua in gazofilacium divite
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, akasema, "nawaambieni kweli, mama huyu mjane ametia zaidi katika hazina kuliko wote.
et dixit vere dico vobis quia vidua haec pauper plus quam omnes misi
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lakini achana na hadithi zile zisizo za kidini na ambazo hazina maana. jizoeshe kuishi maisha ya uchaji wa mungu.
ineptas autem et aniles fabulas devita exerce te ipsum ad pietate
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa namna hiyo watajiwekea hazina ambayo itakuwa kwao msingi imara kwa wakati ujao. hapo wataweza kujipatia uzima ambao ni uzima wa kweli.
thesaurizare sibi fundamentum bonum in futurum ut adprehendant veram vita
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, sisi tulio na hazina hii tuko tu kama vyombo vya udongo, ili ionekane wazi kwamba nguvu hiyo kuu yatoka kwa mungu wala si kwetu sisi wenyewe.
habemus autem thesaurum istum in vasis fictilibus ut sublimitas sit virtutis dei et non ex nobi
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
makuhani wakuu wakazichukua zile fedha, wakasema, "haifai kuziweka katika hazina ya hekalu kwa maana ni fedha za damu."
principes autem sacerdotum acceptis argenteis dixerunt non licet mittere eos in corbanan quia pretium sanguinis es
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
yesu alikuwa ameketi karibu na sanduku la hazina. akawa anatazama jinsi watu wengi walivyokuwa wakitoa fedha na kuzitia katika hazina ya hekalu. matajiri wengi walitoa fedha nyingi.
et sedens iesus contra gazofilacium aspiciebat quomodo turba iactaret aes in gazofilacium et multi divites iactabant mult
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia, "kweli nawaambieni, huyu mama mjane maskini ametoa zaidi kuliko wengine wote waliotia fedha katika sanduku la hazina.
et convocans discipulos suos ait illis amen dico vobis quoniam vidua haec pauper plus omnibus misit qui miserunt in gazofilaciu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mtu mwema hutoa yaliyo mema kutoka katika hazina bora iliyo moyoni mwake; na mtu mbaya hutoa yaliyo mabaya katika hazina mbaya iliyo moyoni mwake, kwa maana mtu huongea kutokana na yale yaliyojaa moyoni mwake.
bonus homo de bono thesauro cordis sui profert bonum et malus homo de malo profert malum ex abundantia enim cordis os loquitu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
naye akawaambia, "hivyo basi, kila mwalimu wa sheria aliye mwanafunzi wa ufalme wa mbinguni anafanana na mwenye nyumba atoaye katika hazina yake vitu vipya na vya kale."
ait illis ideo omnis scriba doctus in regno caelorum similis est homini patri familias qui profert de thesauro suo nova et veter
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
jiunge nao katika ibada ya kujitakasa, ukalipe na gharama zinazohusika, kisha wanyolewe nywele zao. hivyo watu wote watatambua kwamba habari zile walizoambiwa juu yako hazina msingi wowote, na kwamba wewe binafsi bado unaishi kufuatana na maagizo ya sheria za mose.
his adsumptis sanctifica te cum illis et inpende in illis ut radant capita et scient omnes quia quae de te audierunt falsa sunt sed ambulas et ipse custodiens lege
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, wakaingia nyumbani, wakamwona yule mtoto pamoja na maria mama yake; wakapiga magoti, wakamsujudia. kisha wakafungua hazina zao, wakampa zawadi: dhahabu, ubani na manemane.
et intrantes domum invenerunt puerum cum maria matre eius et procidentes adoraverunt eum et apertis thesauris suis obtulerunt ei munera aurum tus et murra
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: