From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
siku hiyohiyo, yesu alitoka katika ile nyumba, akaenda na kuketi kando ya ziwa.
in illo die exiens iesus de domo sedebat secus mar
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
naam, kadiri mateso ya kristo yanavyozidi ndani yetu, ni kadiri hiyohiyo tunazidi kufarijiwa naye.
quoniam sicut abundant passiones christi in nobis ita et per christum abundat consolatio nostr
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
hamu yetu ni kwamba kila mmoja wenu aonyeshe bidii hiyohiyo mpaka mwisho, ili yale mnayotumainia yapate kutimia.
cupimus autem unumquemque vestrum eandem ostentare sollicitudinem ad expletionem spei usque in fine
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa sababu hiyohiyo ninyi hulipa kodi; maana viongozi hao humtumikia mungu ikiwa wanatimiza wajibu wao.
ideo enim et tributa praestatis ministri enim dei sunt in hoc ipsum serviente
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
jioni, siku hiyohiyo, yesu aliwaambia wanafunzi wake, "tuvuke ziwa, twende ng'ambo."
et ait illis illa die cum sero esset factum transeamus contr
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
siku hiyohiyo, wawili kati ya wafuasi wake yesu wakawa wanakwenda katika kijiji kimoja kiitwacho emau, umbali wa kilomita kumi na moja kutoka yerusalemu.
et ecce duo ex illis ibant ipsa die in castellum quod erat in spatio stadiorum sexaginta ab hierusalem nomine emmau
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini yule mhalifu mwingine akamkemea mwenzake akisema: "wewe humwogopi mungu hata kidogo? wewe umepata adhabu hiyohiyo.
respondens autem alter increpabat illum dicens neque tu times deum quod in eadem damnatione e
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
wakasema, "enyi wananchi wa galilaya! mbona mnasimama mkitazama angani? yesu huyu ambaye amechukuliwa kutoka kwenu kwenda mbinguni atakuja tena namna hiyohiyo mliivyomwona akienda mbinguni."
qui et dixerunt viri galilaei quid statis aspicientes in caelum hic iesus qui adsumptus est a vobis in caelum sic veniet quemadmodum vidistis eum euntem in caelu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting