From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
basi nimeamua nisiwatembelee tena kuwatia huzuni.
statui autem hoc ipse apud me ne iterum in tristitia venirem ad vo
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
heri walio na huzuni, maana watafarijiwa.
beati mites quoniam ipsi possidebunt terra
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa kuwa nimewaambieni mambo hayo mmejaa huzuni mioyoni mwenu.
sed quia haec locutus sum vobis tristitia implevit cor vestru
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
nataka kusema hivi: nina huzuni kubwa na maumivu yasiyopimika moyoni mwangu
quoniam tristitia est mihi magna et continuus dolor cordi me
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
akawachukua petro na wana wawili wa zebedayo, akaanza kuwa na huzuni na mahangaiko.
et adsumpto petro et duobus filiis zebedaei coepit contristari et maestus ess
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
tumewapigieni ngoma lakini hamkucheza; tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkulia!
dicunt cecinimus vobis et non saltastis lamentavimus et non planxisti
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
akawaambia, "nina huzuni kubwa moyoni hata karibu kufa. kaeni hapa mkeshe."
et ait illis tristis est anima mea usque ad mortem sustinete hic et vigilat
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
yesu alipomwona analia, na wale wayahudi waliokuja pamoja naye wanalia pia, alijawa na huzuni na kufadhaika moyoni.
iesus ergo ut vidit eam plorantem et iudaeos qui venerant cum ea plorantes fremuit spiritu et turbavit se ipsu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
hapo akawaambia, "nina huzuni kubwa moyoni hata karibu kufa. kaeni hapa mkeshe pamoja nami."
tunc ait illis tristis est anima mea usque ad mortem sustinete hic et vigilate mecu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
watu wale wote waliokuwa wamekusanyika hapo kwa ajili ya tukio hilo, walipoona hayo yaliyotukia, walirudi makwao wakijipiga vifua kwa huzuni.
et omnis turba eorum qui simul aderant ad spectaculum istud et videbant quae fiebant percutientes pectora sua revertebantu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ndugu, twataka mjue ukweli kuhusu wale ambao wamekwisha fariki dunia, ili msipatwe na huzuni kama watu wengine wasio na matumaini.
nolumus autem vos ignorare fratres de dormientibus ut non contristemini sicut et ceteri qui spem non haben
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
nawaambieni kweli, ninyi mtalia na kuomboleza, lakini ulimwengu utafurahi: mtaona huzuni lakini huzuni yenu itageuka kuwa furaha.
amen amen dico vobis quia plorabitis et flebitis vos mundus autem gaudebit vos autem contristabimini sed tristitia vestra vertetur in gaudiu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ninyi pia mna huzuni sasa; lakini nitawajieni tena, nanyi mtajaa furaha mioyoni mwenu, na furaha hiyo hakuna mtu atakayeiondoa kwenu.
et vos igitur nunc quidem tristitiam habetis iterum autem videbo vos et gaudebit cor vestrum et gaudium vestrum nemo tollit a vobi
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
hali kadhalika, naye roho anatusaidia katika udhaifu wetu. maana hatujui inavyotupasa kuomba; lakini roho mwenyewe anatuombea kwa mungu kwa mlio wa huzuni usioelezeka.
similiter autem et spiritus adiuvat infirmitatem nostram nam quid oremus sicut oportet nescimus sed ipse spiritus postulat pro nobis gemitibus inenarrabilibu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
"mnapofunga, msiwe na huzuni kama wanafiki. wao hukunja nyuso zao wapate kuonekana na watu kuwa wanafunga. nawaambieni hakika, hao wamekwisha pata tuzo lao.
cum autem ieiunatis nolite fieri sicut hypocritae tristes demoliuntur enim facies suas ut pareant hominibus ieiunantes amen dico vobis quia receperunt mercedem sua
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kwa sababu hiyo mabaa yake yatampata kwa siku moja: ugonjwa, huzuni na njaa. atachomwa moto, maana bwana mungu mwenye kumhukumu ni mwenye uwezo."
ideo in una die venient plagae eius mors et luctus et fames et igni conburetur quia fortis est deus qui iudicavit illa
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
si tu kwa kule kuja kwake tito, bali pia kwa sababu ya moyo mliompa ninyi. yeye ametuarifu jinsi mnavyotamani kuniona, jinsi mlivyo na huzuni, na mnavyotaka kunitetea. jambo hili linanifurahisha sana.
non solum autem in adventu eius sed etiam in solacio quo consolatus est in vobis referens nobis vestrum desiderium vestrum fletum vestram aemulationem pro me ita ut magis gaudere
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini yule mtoza ushuru, akiwa amesimama kwa mbali bila hata kuinua macho yake mbinguni, ila tu akijipiga kifua kwa huzuni, alisema: ee mungu, unionee huruma mimi mwenye dhambi.
et publicanus a longe stans nolebat nec oculos ad caelum levare sed percutiebat pectus suum dicens deus propitius esto mihi peccator
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
wazazi wake walipomwona walishangaa. maria, mama yake, akamwuliza, "mwanangu, kwa nini umetutenda hivyo? baba yako na mimi tumekuwa tukikutafuta kwa huzuni."
et videntes admirati sunt et dixit mater eius ad illum fili quid fecisti nobis sic ecce pater tuus et ego dolentes quaerebamus t
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting