From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
"sikilizeni! mpanzi alikwenda kupanda mbegu.
audite ecce exiit seminans ad seminandu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ni kama mbegu ya haradali ambayo ni ndogo kuliko mbegu zote.
sicut granum sinapis quod cum seminatum fuerit in terra minus est omnibus seminibus quae sunt in terr
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
uadilifu ni mazao ya mbegu ambazo wapenda amani hupanda katika amani.
fructus autem iustitiae in pace seminatur facientibus pace
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
hayo ni maswali ya kijinga! ukipanda mbegu, isipokufa kwanza haitaota.
insipiens tu quod seminas non vivificatur nisi prius moriatu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
"basi, maana ya mfano huu ni hii: mbegu ni neno la mungu.
est autem haec parabola semen est verbum de
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ile mbegu iliyopandwa penye mawe ni mfano wa mtu asikiaye ujumbe huo na mara akaupokea kwa furaha.
qui autem supra petrosa seminatus est hic est qui verbum audit et continuo cum gaudio accipit illu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
watu wengine ni kama zile mbegu zilizopandwa penye mawe. mara tu wanapolisikia hilo neno hulipokea kwa furaha.
et hii sunt similiter qui super petrosa seminantur qui cum audierint verbum statim cum gaudio accipiunt illu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi. mbegu hizo ziliota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.
aliud vero cecidit super petrosa ubi non habuit terram multam et statim exortum est quoniam non habebat altitudinem terra
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
usiku hulala, mchana yu macho na wakati huo mbegu zinaota na kukua; yeye hajui inavyofanyika.
et dormiat et exsurgat nocte ac die et semen germinet et increscat dum nescit ill
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ikiwa sisi tumepanda mbegu ya kiroho kati yenu, je, ni jambo kubwa tukichuma kwenu faida ya kidunia?
si nos vobis spiritalia seminavimus magnum est si nos carnalia vestra metamu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu akawaambia watu mfano mwingine: "ufalme wa mbinguni unafanana na mtu aliyepanda mbegu nzuri katika shamba lake.
aliam parabolam proposuit illis dicens simile factum est regnum caelorum homini qui seminavit bonum semen in agro su
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ndivyo ilivyo kuhusu ufufuo wa wafu. kama vile mbegu, mwili huzikwa ardhini ukiwa katika hali ya kuharibika, lakini hufufuliwa katika hali ya kutoharibika.
sic et resurrectio mortuorum seminatur in corruptione surgit in incorruption
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
na mungu ampaye mkulima mbegu na mkate kwa chakula, atawapa ninyi pia mbegu mnazohitaji, na atazifanya ziote, ziwe na kuwapa mavuno mengi ya ukarimu wenu.
qui autem administrat semen seminanti et panem ad manducandum praestabit et multiplicabit semen vestrum et augebit incrementa frugum iustitiae vestra
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ile mbegu iliyoanguka kati ya miti ya miiba, ni mfano wa mtu asikiaye huo ujumbe, lakini wasiwasi wa ulimwengu huu na anasa za mali huusonga ujumbe huo, naye hazai matunda.
qui autem est seminatus in spinis hic est qui verbum audit et sollicitudo saeculi istius et fallacia divitiarum suffocat verbum et sine fructu efficitu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ni kama mbegu ya haradali aliyotwaa mtu mmoja na kuipanda shambani mwake; ikaota hata ikawa mti. ndege wa angani wakajenga viota vyao katika matawi yake."
simile est grano sinapis quod acceptum homo misit in hortum suum et crevit et factum est in arborem magnam et volucres caeli requieverunt in ramis eiu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
yenyewe ni ndogo kuliko mbegu zote, lakini ikishaota huwa kubwa kuliko mimea yote. hukua ikawa mti, na ndege wa angani huja na kujenga viota katika matawi yake."
quod minimum quidem est omnibus seminibus cum autem creverit maius est omnibus holeribus et fit arbor ita ut volucres caeli veniant et habitent in ramis eiu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lakini wengine ni kama zile mbegu zilizopandwa katika udongo mzuri. hawa hulisikia hilo neno, wakalipokea, wakazaa matunda: wengine thelathini, wengine sitini na wengine mia moja."
et hii sunt qui super terram bonam seminati sunt qui audiunt verbum et suscipiunt et fructificant unum triginta et unum sexaginta et unum centu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.