Results for mwishowe translation from Swahili to Latin

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

mwishowe akafa pia yule mwanamke.

Latin

novissima omnium mortua est et mulie

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwishowe akamtuma mwanawe huku akifikiri: watamheshimu mwanangu.

Latin

novissime autem misit ad eos filium suum dicens verebuntur filium meu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa.

Latin

et cum ieiunasset quadraginta diebus et quadraginta noctibus postea esurii

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jambo hilo lilifanyika mara tatu, na mwishowe vyote vilirudishwa juu mbinguni.

Latin

hoc autem factum est per ter et recepta sunt rursum omnia in caelu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wote saba walikufa bila kuacha mtoto. mwishowe yule mama mjane naye akafa.

Latin

et acceperunt eam similiter septem et non reliquerunt semen novissima omnium defuncta est et mulie

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua yosefu alianza kutawala huko misri.

Latin

quoadusque surrexit rex alius in aegypto qui non sciebat iosep

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati huo petro alikuwa anaendelea kupiga hodi. mwishowe walifungua mlango, wakamwona, wakashangaa.

Latin

petrus autem perseverabat pulsans cum autem aperuissent viderunt eum et obstipuerun

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alibakiwa bado na mtu mmoja, yaani mwanawe mpendwa. mwishowe akamtuma huyo akisema, watamheshimu mwanangu.

Latin

adhuc ergo unum habens filium carissimum et illum misit ad eos novissimum dicens quia reverebuntur filium meu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wao wakazidi kupiga kelele kwa nguvu sana, kwamba yesu ni lazima asulubiwe. mwishowe, sauti zao zikashinda.

Latin

at illi instabant vocibus magnis postulantes ut crucifigeretur et invalescebant voces eoru

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuadhibiwa si jambo la kufurahisha bali la kuhuzunisha. lakini wale waliofunzwa kuwa na nidhamu mwishowe watavuna tuzo la amani kutoka katika maisha adili!

Latin

omnis autem disciplina in praesenti quidem videtur non esse gaudii sed maeroris postea autem fructum pacatissimum exercitatis per eam reddit iustitia

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na kuzaa matunda: kwanza huchipua jani changa, kisha suke, na mwishowe nafaka ndani ya suke.

Latin

ultro enim terra fructificat primum herbam deinde spicam deinde plenum frumentum in spic

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwishowe, yesu aliwatokea wanafunzi kumi na mmoja walipokuwa pamoja mezani. akawakemea sana kwa sababu ya kutoamini kwao na ukaidi wao, maana hawakuwaamini wale waliokuwa wamemwona baada ya kufufuka.

Latin

novissime recumbentibus illis undecim apparuit et exprobravit incredulitatem illorum et duritiam cordis quia his qui viderant eum resurrexisse non credideran

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,934,340,790 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK