Results for ningependa translation from Swahili to Latin

Swahili

Translate

ningependa

Translate

Latin

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

ningependa akae nami hapa anisaidie badala yako wakati niwapo kifungoni kwa sababu ya habari njema.

Latin

quem ego volueram mecum detinere ut pro te mihi ministraret in vinculis evangeli

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ningependa ninyi msiwe na wasiwasi. mtu asiye na mke hujishughulisha na kazi ya bwana jinsi atakavyompendeza bwana.

Latin

volo autem vos sine sollicitudine esse qui sine uxore est sollicitus est quae domini sunt quomodo placeat de

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

natumaini kufanya hivyo sasa. ningependa kuwaoneni nikiwa safarini kwenda spania na kupata msaada wenu kwa safari hiyo baada ya kufurahia kuwa kwa muda pamoja nanyi.

Latin

cum in hispaniam proficisci coepero spero quod praeteriens videam vos et a vobis deducar illuc si vobis primum ex parte fruitus fuer

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ningependa watu wote wawe kama mimi nilivyo; lakini kila mmoja anacho kipaji chake kutoka kwa mungu; mmoja kipaji hiki na mwingine kile.

Latin

volo autem omnes homines esse sicut me ipsum sed unusquisque proprium habet donum ex deo alius quidem sic alius vero si

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndugu zangu, nataka mjue kwamba mara nyingi nilikusudia kuwatembeleeni, lakini mpaka sasa nimezuiwa. ningependa kupata mafanikio mema kati yenu kama nilivyopata kati ya watu wa mataifa mengine.

Latin

nolo autem vos ignorare fratres quia saepe proposui venire ad vos et prohibitus sum usque adhuc ut aliquem fructum habeam et in vobis sicut et in ceteris gentibu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini ikiwa utaoa hutakuwa umetenda dhambi; na msichana akiolewa hatakuwa ametenda dhambi. hao watakaooana watapatwa na matatizo ya dunia hii, lakini mimi ningependa hayo yasiwapate ninyi.

Latin

si autem acceperis uxorem non peccasti et si nupserit virgo non peccavit tribulationem tamen carnis habebunt huiusmodi ego autem vobis parc

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi agripa akamwambia festo, "ningependa kumsikia mtu huyu mimi mwenyewe." festo akamwambia, "utamsikia kesho."

Latin

agrippa autem ad festum volebam et ipse hominem audire cras inquit audies eu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, ningependa ninyi nyote mseme kwa lugha ngeni lakini ningependelea hasa muwe na kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu, maana mtu mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu, ni wa maana zaidi kuliko yule mwenye kusema lugha ngeni, isipokuwa tu kama yupo hapo mtu awezaye kuyafafanua hayo mambo asemayo, ili kanisa lipate kujengwa.

Latin

volo autem omnes vos loqui linguis magis autem prophetare nam maior est qui prophetat quam qui loquitur linguis nisi si forte ut interpretetur ut ecclesia aedificationem accipia

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,945,683,308 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK