From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ombeni ili mambo hayo yasitukie nyakati za baridi.
orate vero ut hieme non fian
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe siku za baridi au siku ya sabato!
orate autem ut non fiat fuga vestra hieme vel sabbat
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, ombeni ili niweze kusema kama inavyonipasa na kwa namna itakayodhihirisha siri hiyo.
ut manifestem illud ita ut oportet me loqu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
mpaka sasa hamjaomba chochote kwa jina langu. ombeni nanyi mtapata ili furaha yenu ikamilike.
usque modo non petistis quicquam in nomine meo petite et accipietis ut gaudium vestrum sit plenu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ombeni pia ili mungu atuokoe na watu wapotovu na waovu, maana si wote wanaoamini ujumbe huu.
et ut liberemur ab inportunis et malis hominibus non enim omnium est fide
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa hiyo, ombeni, nanyi mtapewa, tafuteni, nanyi mtapata, bisheni nanyi mtafunguliwa.
et ego vobis dico petite et dabitur vobis quaerite et invenietis pulsate et aperietur vobi
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu, basi, ombeni chochote mtakacho nanyi mtapewa.
si manseritis in me et verba mea in vobis manserint quodcumque volueritis petetis et fiet vobi
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
"ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni, nanyi mtafunguliwa.
petite et dabitur vobis quaerite et invenietis pulsate et aperietur vobi
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ombeni nipate kutoka salama miongoni mwa wale wasioamini walioko uyahudi, nayo huduma yangu huko yerusalem ipate kukubaliwa na watu wa mungu walioko huko.
ut liberer ab infidelibus qui sunt in iudaea et obsequii mei oblatio accepta fiat in hierosolyma sancti
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
mimi ni balozi kwa ajili ya habari njema hiyo ingawa sasa niko kifungoni. ombeni, basi, ili niweze kuwa hodari katika kuitangaza kama inipasavyo.
pro quo legatione fungor in catena ita ut in ipso audeam prout oportet me loqu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: