Results for safarini, safarini translation from Swahili to Latin

Swahili

Translate

safarini, safarini

Translate

Latin

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa.

Latin

quoniam amicus meus venit de via ad me et non habeo quod ponam ante illu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walipokuwa safarini, waliingia katika kijiji kimoja na mwanamke mmoja, aitwaye martha, alimkaribisha nyumbani kwake.

Latin

factum est autem dum irent et ipse intravit in quoddam castellum et mulier quaedam martha nomine excepit illum in domum sua

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nitakapokwisha tekeleza kazi hiyo na kuwakabidhi mchango huo uliokusanywa kwa ajili yao, nitawatembeleeni ninyi nikiwa safarini kwenda spania.

Latin

hoc igitur cum consummavero et adsignavero eis fructum hunc proficiscar per vos in hispania

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilikusudia kupita kwenu nikiwa safarini kwenda makedonia, na wakati wa kurudi pia, ili nipate msaada wenu kwa safari yangu kwenda yudea.

Latin

et per vos transire in macedoniam et iterum a macedonia venire ad vos et a vobis deduci in iudaea

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zaidi ya hayo, yeye amechaguliwa na makanisa awe mwenzetu safarini wakati tunapopeleka huduma hii yetu ya upendo, huduma tunayoifanya kwa ajili ya utukufu wa bwana na uthibitisho wa nia yetu njema.

Latin

non solum autem sed et ordinatus ab ecclesiis comes peregrinationis nostrae in hac gratia quae ministratur a nobis ad domini gloriam et destinatam voluntatem nostra

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

natumaini kufanya hivyo sasa. ningependa kuwaoneni nikiwa safarini kwenda spania na kupata msaada wenu kwa safari hiyo baada ya kufurahia kuwa kwa muda pamoja nanyi.

Latin

cum in hispaniam proficisci coepero spero quod praeteriens videam vos et a vobis deducar illuc si vobis primum ex parte fruitus fuer

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, nitakapokuja nitayafichua mambo yote anayofanya, maneno mabaya anayotutolea na uongo anaosema juu yetu. isitoshe, yeye hukataa kuwakaribisha hao ndugu walio safarini, na hata huwazuia watu wengine wanaotaka kuwakaribisha, na hujaribu kuwafukuzia nje ya kanisa.

Latin

propter hoc si venero commoneam eius opera quae facit verbis malignis garriens in nos et quasi non ei ista sufficiant nec ipse suscipit fratres et eos qui cupiunt prohibet et de ecclesia eici

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila mara safarini nimekabiliwa na hatari za mafuriko ya mito, na hatari za wanyama; hatari kutoka kwa wananchi wenzangu na kutoka kwa watu wa mataifa mengine; hatari za mjini, hatari za porini, hatari za baharini, hatari kutoka kwa ndugu wa uongo

Latin

in itineribus saepe periculis fluminum periculis latronum periculis ex genere periculis ex gentibus periculis in civitate periculis in solitudine periculis in mari periculis in falsis fratribu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,897,041,043 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK