From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa hiyo, wapenzi wangu, epeni ibada za sanamu.
propter quod carissimi mihi fugite ab idolorum cultur
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
mnajua kwamba, kabla ya kuongoka kwenu, mlitawaliwa na kupotoshwa na sanamu tupu.
scitis quoniam cum gentes essetis ad simulacra muta prout ducebamini eunte
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
hapo ndipo walipojitengenezea sanamu ya ndama, wakaitambikia na kukifanyia sherehe kitu ambacho ni kazi ya mikono yao wenyewe.
et vitulum fecerunt in illis diebus et obtulerunt hostiam simulacro et laetabantur in operibus manuum suaru
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha alijaliwa kuipulizia uhai hiyo sanamu ya yule mnyama wa kwanza, hata ikaweza kuongea na kuwaua watu wote ambao hawakuiabudu.
et datum est illi ut daret spiritum imagini bestiae ut et loquatur imago bestiae et faciat quicumque non adoraverint imaginem bestiae occidantu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, choyo, mabishano, mafarakano;
idolorum servitus veneficia inimicitiae contentiones aemulationes irae rixae dissensiones secta
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini mbwa, wachawi, wazinzi, wauaji, waabudu sanamu na wote wanaopenda kusema uongo, watakaa nje ya mji.
foris canes et venefici et inpudici et homicidae et idolis servientes et omnis qui amat et facit mendaciu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini ninayo machache dhidi yako: baadhi yenu ni wafuasi wa balaamu aliyemfundisha balaki kuwatega wana wa israeli wale vyakula vilivyotambikiwa sanamu za kufanya uzinzi.
sed habeo adversus te pauca quia habes illic tenentes doctrinam balaam qui docebat balac mittere scandalum coram filiis israhel edere et fornicar
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
aliwapotosha wakazi wa dunia kwa miujiza hiyo aliyojaliwa kutenda mbele ya mnyama wa kwanza. aliwaambia wakazi wa dunia watengeneze sanamu kwa heshima ya yule mnyama aliyekuwa amejeruhiwa kwa upanga lakini akaishi tena.
et seducit habitantes terram propter signa quae data sunt illi facere in conspectu bestiae dicens habitantibus in terra ut faciant imaginem bestiae quae habet plagam gladii et vixi
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ninyi mlikibeba kibanda cha mungu moloki, na sanamu ya nyota ya mungu wenu refani. sanamu mlizozifanya ndizo mlizoabudu. kwa sababu hiyo nitakupeleka mateka mbali kupita babuloni!
et suscepistis tabernaculum moloch et sidus dei vestri rempham figuras quas fecistis adorare eas et transferam vos trans babylone
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
moshi wa moto unaowatesa kupanda juu milele na milele. watu hao waliomwabudu huyo mnyama na sanamu yake, na kutiwa alama ya jina lake, hawatakuwa na nafuu yoyote usiku na mchana."
et fumus tormentorum eorum in saecula saeculorum ascendit nec habent requiem die ac nocte qui adoraverunt bestiam et imaginem eius et si quis acceperit caracterem nominis eiu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
nilichoandika ni hiki: msishirikiane na ndugu mkristo aliye mzinzi, mchoyo, mwenye kuabudu sanamu, mchongezi mlevi na mlaghai. mtu wa namna hiyo, hata kula msile naye.
nunc autem scripsi vobis non commisceri si is qui frater nominatur est fornicator aut avarus aut idolis serviens aut maledicus aut ebriosus aut rapax cum eiusmodi nec cibum sumer
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
hatimaye karani wa mji alifaulu kuwanyamazisha, akawaambia, "wananchi wa efeso, kila mtu anajua kwamba mji huu wa efeso ni mlinzi wa nyumba ya mungu artemi na mlinzi wa ile sanamu iliyoanguka kutoka mbinguni.
et cum sedasset scriba turbas dixit viri ephesii quis enim est hominum qui nesciat ephesiorum civitatem cultricem esse magnae dianae iovisque proli
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lakini huyo mnyama akachukuliwa mateka, pamoja na nabii wa uongo aliyekuwa akifanya miujiza mbele yake. (kwa miujiza hiyo, alikuwa amewapotosha wale waliokuwa na chapa ya huyo mnyama, na ambao walikuwa wameiabudu sanamu yake.) huyo mnyama pamoja na huyo nabii walitupwa wote wawili, wakiwa wazimawazima, ndani ya ziwa linalowaka moto wa kiberiti.
et adprehensa est bestia et cum illo pseudopropheta qui fecit signa coram ipso quibus seduxit eos qui acceperunt caracterem bestiae qui et adorant imaginem eius vivi missi sunt hii duo in stagnum ignis ardentis sulphur
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: