Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
alikuwa mja mzito, na akapaaza sauti kwa maumivu na uchungu wa kujifungua mtoto.
et in utero habens et clamat parturiens et cruciatur ut paria
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
na hivyo mawazo ya watu wengi yataonekana wazi. nawe mwenyewe, uchungu ulio kama upanga mkali utauchoma moyo wako."
et tuam ipsius animam pertransiet gladius ut revelentur ex multis cordibus cogitatione
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
akiwa katika uchungu mkubwa, alisali kwa bidii zaidi; na jasho likamtoka, kama matone ya damu, likatiririka mpaka chini.
et factus est sudor eius sicut guttae sanguinis decurrentis in terra
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
yeye atayafuta machozi yao yote; maana hakutakuwako tena na kifo, wala uchungu, wala kilio, wala maumivu; maana ile hali ya kale imepita!"
et absterget deus omnem lacrimam ab oculis eorum et mors ultra non erit neque luctus neque clamor neque dolor erit ultra quae prima abierun
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
watu watakapokuwa wanasema: "kila kitu ni shwari na salama" ndipo uharibifu utakapowaangukia ghafla! mambo hayo yatatukia ghafla kama uchungu wa uzazi unavyomjia mama anayejifungua, wala watu hawataweza kuepukana nayo.
cum enim dixerint pax et securitas tunc repentinus eis superveniet interitus sicut dolor in utero habenti et non effugien
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting