Results for udhaifu translation from Swahili to Latin

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

ikinilazimu kujivuna, basi, nitajivunia udhaifu wangu.

Latin

si gloriari oportet quae infirmitatis meae sunt gloriabo

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, nitajivunia juu ya mtu wa namna hiyo, na si juu yangu mimi binafsi, isipokuwa tu juu ya udhaifu wangu.

Latin

pro eiusmodi gloriabor pro me autem nihil gloriabor nisi in infirmitatibus mei

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alitembelea miji yote na vijiji, akafundisha katika masunagogi yao akihubiri habari njema ya ufalme wa mungu, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila namna.

Latin

et circumibat iesus civitates omnes et castella docens in synagogis eorum et praedicans evangelium regni et curans omnem languorem et omnem infirmitate

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alifanya hivyo ili yale aliyosema nabii isaya yatimie: "yeye mwenyewe ameondoa udhaifu wetu, ameyachukua magonjwa yetu."

Latin

ut adimpleretur quod dictum est per esaiam prophetam dicentem ipse infirmitates nostras accepit et aegrotationes portavi

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maana hata kama alisulubiwa kwa sababu ya udhaifu, lakini sasa anaishi kwa uwezo wa mungu. sisi pia tu dhaifu kwa kuungana naye lakini tutaishi naye kwa uwezo wa mungu kwa ajili yenu.

Latin

nam et si crucifixus est ex infirmitate sed vivit ex virtute dei nam et nos infirmi sumus in illo sed vivemus cum eo ex virtute dei in vobi

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana kinachoonekana kuwa ni upumbavu wa mungu, kina busara zaidi kuliko hekima ya binadamu; na kinachoonekana kuwa ni udhaifu wa mungu, kina nguvu zaidi kuliko nguvu za binadamu.

Latin

quia quod stultum est dei sapientius est hominibus et quod infirmum est dei fortius est hominibu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

msinyimane haki zenu, isipokuwa kama mnaafikiana kufanya hivyo kwa kitambo tu, ili mpate nafasi nzuri ya kusali. kisha rudianeni tena mara, ili shetani asije akawajaribu kwa sababu ya udhaifu wenu.

Latin

nolite fraudare invicem nisi forte ex consensu ad tempus ut vacetis orationi et iterum revertimini in id ipsum ne temptet vos satanas propter incontinentiam vestra

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo nakubali kwa radhi udhaifu, madharau, taabu, udhalimu na mateso, kwa ajili ya kristo; maana ninapokuwa dhaifu, ndipo ninapokuwa na nguvu.

Latin

propter quod placeo mihi in infirmitatibus in contumeliis in necessitatibus in persecutionibus in angustiis pro christo cum enim infirmor tunc potens su

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini akaniambia: "neema yangu inatosha kwa ajili yako; maana uwezo wangu hukamilishwa zaidi katika udhaifu." basi, ni radhi kabisa kujivunia udhaifu wangu ili uwezo wake kristo ukae juu yangu.

Latin

et dixit mihi sufficit tibi gratia mea nam virtus in infirmitate perficitur libenter igitur gloriabor in infirmitatibus meis ut inhabitet in me virtus christ

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,899,373,843 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK