Results for wala translation from Swahili to Latin

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu.

Latin

non efficiamur inanis gloriae cupidi invicem provocantes invicem invidente

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakuna mtu anayeelewa, wala anayemtafuta mungu.

Latin

non est intellegens non est requirens deu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wala hawawezi kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu.

Latin

neque probare possunt tibi de quibus nunc accusant m

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

faili '%s' sio ya kawaida wala si saraka.

Latin

datum "%s" non est datum vel capsa ordinaria.

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wala halitokani na matendo yenu wenyewe, asije mtu akajivunia kitu.

Latin

non ex operibus ut ne quis glorietu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye hakutenda dhambi, wala neno la udanganyifu halikusikika mdomoni mwake.

Latin

qui peccatum non fecit nec inventus est dolus in ore ipsiu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatakuwa na ubishi wala kupiga kelele, wala sauti yake haitasikika barabarani.

Latin

non contendet neque clamabit neque audiet aliquis in plateis vocem eiu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mimi sikutamani hata mara moja fedha, wala dhahabu, wala nguo za mtu yeyote.

Latin

argentum aut aurum aut vestem nullius concupiv

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana wafu watakapofufuka, hawataoa wala kuolewa; watakuwa kama malaika wa mbinguni.

Latin

cum enim a mortuis resurrexerint neque nubent neque nubentur sed sunt sicut angeli in caeli

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wala si kwa ajili yao tu, bali pia apate kuwaleta pamoja watoto wa mungu waliotawanyika.

Latin

et non tantum pro gente sed et ut filios dei qui erant dispersi congregaret in unu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana hakuna mtu yeyote miongoni mwetu aishiye kwa ajili yake mwenyewe, wala hakuna anayekufa kwa ajili yake mwenyewe

Latin

nemo enim nostrum sibi vivit et nemo sibi moritu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila mtu atendaye maovu anauchukia mwanga, wala haji kwenye mwanga, maana hapendi matendo yake maovu yamulikwe.

Latin

omnis enim qui mala agit odit lucem et non venit ad lucem ut non arguantur opera eiu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

msiupende ulimwengu, wala chochote kilicho cha ulimwengu. mtu anayeupenda ulimwengu, upendo wa baba hauwezi kuwamo ndani yake.

Latin

nolite diligere mundum neque ea quae in mundo sunt si quis diligit mundum non est caritas patris in e

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wala kwa dunia, maana ni kiti chake cha kuwekea miguu; wala kwa yerusalemu, maana ni mji wa mfalme mkuu.

Latin

neque per terram quia scabillum est pedum eius neque per hierosolymam quia civitas est magni regi

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akamwambia, "niamini; wakati unakuja ambapo hamtamwabudu baba juu ya mlima huu, wala kule yerusalemu.

Latin

dicit ei iesus mulier crede mihi quia veniet hora quando neque in monte hoc neque in hierosolymis adorabitis patre

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, jicho haliwezi kuuambia mkono: "sikuhitaji wewe", wala kichwa hakiwezi kuiambia miguu: "siwahitaji ninyi."

Latin

non potest dicere oculus manui opera tua non indigeo aut iterum caput pedibus non estis mihi necessari

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,877,188,671 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK