Results for walishangaa translation from Swahili to Latin

Swahili

Translate

walishangaa

Translate

Latin

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

wote waliosikia hayo walishangaa juu ya habari walizoambiwa na wachungaji.

Latin

et omnes qui audierunt mirati sunt et de his quae dicta erant a pastoribus ad ipso

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wote walishangaa na kufadhaika huku wakiulizana, "hii ina maana gani?"

Latin

stupebant autem omnes et mirabantur ad invicem dicentes quidnam hoc vult ess

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

simoni pamoja na wenzake wote walishangaa kwa kupata samaki wengi vile.

Latin

stupor enim circumdederat eum et omnes qui cum illo erant in captura piscium quam ceperan

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wazazi wake walishangaa, lakini yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote hayo yaliyotendeka.

Latin

et stupuerunt parentes eius quibus praecepit ne alicui dicerent quod factum era

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanafunzi walipouona walishangaa wakisema, "kwa nini mtini huu umenyauka ghafla?"

Latin

et videntes discipuli mirati sunt dicentes quomodo continuo arui

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wale wanafunzi waliposikia hivyo walishangaa, wakamwuliza, "ni nani basi, awezaye kuokoka?"

Latin

auditis autem his discipuli mirabantur valde dicentes quis ergo poterit salvus ess

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

watu wote katika ule umati walipoona hayo, walishangaa na kuogopa; wakamtukuza mungu aliyewapa binadamu uwezo wa namna hiyo.

Latin

videntes autem turbae timuerunt et glorificaverunt deum qui dedit potestatem talem hominibu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu walishangaa sana, wakasema, "amefanya yote vyema: amewajalia viziwi kusikia, na bubu kusema!"

Latin

et eo amplius admirabantur dicentes bene omnia fecit et surdos facit audire et mutos loqu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hao wazee wa baraza, wakiwa wanajua kwamba petro na yohane walikuwa watu wasio na kisomo wala elimu yoyote, walishangaa juu ya jinsi walivyosema kwa uhodari. wakatambua kwamba walikuwa wamejiunga na yesu.

Latin

videntes autem petri constantiam et iohannis conperto quod homines essent sine litteris et idiotae admirabantur et cognoscebant eos quoniam cum iesu fueran

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha akawaambia, "iko wapi imani yenu?" lakini wao walishangaa na kuogopa huku wakiambiana, "huyu ni nani basi, hata anaamuru dhoruba na mawimbi, navyo vinamtii?"

Latin

dixit autem illis ubi est fides vestra qui timentes mirati sunt dicentes ad invicem quis putas hic est quia et ventis imperat et mari et oboediunt e

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,951,981,731 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK