Results for wamevaa translation from Swahili to Latin

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Latin

Info

Swahili

wamevaa

Latin

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

majeshi ya mbinguni yalimfuata yakiwa yamepanda farasi weupe na walikuwa wamevaa mavazi ya kitani, meupe na safi.

Latin

et exercitus qui sunt in caelo sequebantur eum in equis albis vestiti byssinum album mundu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wako wachache huko sarde ambao hawakuyachafua mavazi yao. hao wanastahili kutembea pamoja nami wakiwa wamevaa mavazi meupe.

Latin

sed habes pauca nomina in sardis qui non inquinaverunt vestimenta sua et ambulabunt mecum in albis quia digni sun

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nami nitawatuma mashahidi wangu wawili ili watangaze ujumbe wa mungu kwa muda huo wa siku elfu moja mia mbili na sitini wakiwa wamevaa mavazi ya magunia."

Latin

et dabo duobus testibus meis et prophetabunt diebus mille ducentis sexaginta amicti sacco

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kulikuwa na duara la viti ishirini na vinne kukizunguka kiti cha enzi, na juu ya viti hivyo wazee ishirini na wanne walikuwa wameketi wamevaa mavazi meupe na taji za dhahabu vichwani.

Latin

et in circuitu sedis sedilia viginti quattuor et super thronos viginti quattuor seniores sedentes circumamictos vestimentis albis et in capitibus eorum coronas aurea

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walipigwa mawe, walipasuliwa vipandevipande, waliuawa kwa upanga. walizungukazunguka wakiwa wamevaa ngozi za kondoo na ngozi za mbuzi, walikuwa watu maskini, walioteswa na kudhulumiwa.

Latin

lapidati sunt secti sunt temptati sunt in occisione gladii mortui sunt circumierunt in melotis in pellibus caprinis egentes angustiati adflict

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha nikatazama, nikaona umati mkubwa wa watu wasiohesabika: watu wa kila taifa, ukoo, jamaa na lugha. nao walikuwa wamesimama mbele ya kiti cha enzi na mbele ya mwanakondoo, wakiwa wamevaa mavazi meupe na kushika matawi ya mitende mikononi mwao.

Latin

post haec vidi turbam magnam quam dinumerare nemo poterat ex omnibus gentibus et tribubus et populis et linguis stantes ante thronum et in conspectu agni amicti stolas albas et palmae in manibus eoru

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,746,492,061 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK