From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
vipofu wanaona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa na viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa na maskini wanahubiriwa habari njema.
caeci vident claudi ambulant leprosi mundantur surdi audiunt mortui resurgunt pauperes evangelizantu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
siku moja ya sabato, yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano. walipokuwa wanatembea, wanafunzi wake wakaanza kukwanyua masuke ya ngano.
et factum est iterum cum sabbatis ambularet per sata et discipuli eius coeperunt praegredi et vellere spica
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
walipita kituo cha kwanza cha ulinzi na cha pili, halafu wakafika kwenye mlango wa chuma wa kuingilia mjini. huo mlango ukawafungukia wenyewe, nao wakatoka nje. wakawa wanatembea katika barabara moja na mara yule malaika akamwacha petro peke yake.
transeuntes autem primam et secundam custodiam venerunt ad portam ferream quae ducit ad civitatem quae ultro aperta est eis et exeuntes processerunt vicum unum et continuo discessit angelus ab e
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, yesu akawajibu, "nendeni mkamwambie yohane yale mliyojionea na kuyasikia: vipofu wanaona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa habari njema.
et respondens dixit illis euntes nuntiate iohanni quae vidistis et audistis quia caeci vident claudi ambulant leprosi mundantur surdi audiunt mortui resurgunt pauperes evangelizantu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting