From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
yametimia
latin
Last Update: 2024-10-24
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alipokwisha pokea hiyo siki, akasema, "yametimia!" kisha akainama kichwa, akatoa roho.
cum ergo accepisset iesus acetum dixit consummatum est et inclinato capite tradidit spiritu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kwao yametimia yale aliyosema nabii isaya: kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
et adimpletur eis prophetia esaiae dicens auditu audietis et non intellegetis et videntes videbitis et non videbiti
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
kweli nawaambieni, mpaka hapo mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata nukta moja au sehemu ndogo kabisa ya sheria itakayoondolewa, mpaka yote yametimia.
amen quippe dico vobis donec transeat caelum et terra iota unum aut unus apex non praeteribit a lege donec omnia fian
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alijua kwamba yote yalikuwa yametimia; na, ili maandiko matakatifu yapate kutimia, akasema, "naona kiu."
postea sciens iesus quia iam omnia consummata sunt ut consummaretur scriptura dicit siti
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kisha akaniambia, "yametimia! mimi ni alfa na omega, mwanzo na mwisho. aliye na kiu nitampa kinywaji cha bure kutoka katika chemchemi ya maji ya uzima.
et dixit mihi factum est ego sum alpha et omega initium et finis ego sitienti dabo de fonte aquae vivae grati
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting