From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
yosefu akauchukua ule mwili akauzungushia sanda safi ya kitani,
et accepto corpore ioseph involvit illud sindone mund
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua yosefu alianza kutawala huko misri.
quoadusque surrexit rex alius in aegypto qui non sciebat iosep
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
yakobo alimzaa yosefu, aliyekuwa mume wake maria, mama yake yesu, aitwaye kristo.
iacob autem genuit ioseph virum mariae de qua natus est iesus qui vocatur christu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
hivyo, yosefu alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani.
exsurgens autem ioseph a somno fecit sicut praecepit ei angelus domini et accepit coniugem sua
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini hakumjua kamwe kimwili hata maria alipojifungua mtoto wa kiume. naye yosefu akampa jina yesu.
et non cognoscebat eam donec peperit filium suum primogenitum et vocavit nomen eius iesu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
katika safari yao ya pili, yosefu alijitambulisha kwa ndugu zake, na farao akaifahamu jamaa ya yosefu.
et in secundo cognitus est ioseph a fratribus suis et manifestatum est pharaoni genus eiu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
miongoni mwao walikuwa maria magdalene, maria mama yao yakobo na yosefu, pamoja na mama yao wana wa zebedayo.
inter quas erat maria magdalene et maria iacobi et ioseph mater et mater filiorum zebedae
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa imani yakobo alipokuwa karibu kufa, aliwabariki kila mmoja wa wana wa yosefu, akamwabudu mungu akiegemea ile fimbo yake.
fide iacob moriens singulis filiorum ioseph benedixit et adoravit fastigium virgae eiu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
heli alikuwa mwana wa mathati, mwana wa lawi, mwana wa melki, mwana wa yanai, mwana wa yosefu,
qui fuit matthat qui fuit levi qui fuit melchi qui fuit iannae qui fuit iosep
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
wote wakavutiwa sana naye, wakastaajabia maneno mazuri aliyosema. wakanena, "je, huyu si mwana wa yosefu?"
et omnes testimonium illi dabant et mirabantur in verbis gratiae quae procedebant de ore ipsius et dicebant nonne hic filius est iosep
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
siku zilipotimia za yosefu na maria kutakaswa kama walivyotakiwa na sheria ya mose, wazazi hao walimchukua mtoto, wakaenda naye yerusalemu ili wamweke mbele ya bwana.
et postquam impleti sunt dies purgationis eius secundum legem mosi tulerunt illum in hierusalem ut sisterent eum domin
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
kabila la zabuloni, kumi na mbili elfu; kabila la yosefu, kumi na mbili elfu, na kabila la benyamini, kumi na mbili elfu.
ex tribu zabulon duodecim milia ex tribu ioseph duodecim milia ex tribu beniamin duodecim milia signat
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
hapo yosefu akanunua sanda ya kitani, akauteremsha chini huo mwili, akauzungushia sanda. akauweka katika kaburi lililokuwa limechongwa mwambani, kisha akavingirisha jiwe kubwa mbele ya mlango.
ioseph autem mercatus sindonem et deponens eum involvit sindone et posuit eum in monumento quod erat excisum de petra et advolvit lapidem ad ostium monument
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
je, huyu si yule mwana wa seremala? je, mama yake si anaitwa maria, na ndugu zake si kina yakobo, yosefu, simoni na yuda?
nonne hic est fabri filius nonne mater eius dicitur maria et fratres eius iacobus et ioseph et simon et iuda
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
wakasema, "je, huyu si mwana wa yosefu? tunawajua baba yake na mama yake! basi, anawezaje kusema kwamba ameshuka kutoka mbinguni?"
et dicebant nonne hic est iesus filius ioseph cuius nos novimus patrem et matrem quomodo ergo dicit hic quia de caelo descend
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
hapo akaja yosefu mwenyeji wa armathaya, mjumbe wa baraza kuu, aliyeheshimika sana. yeye pia alikuwa anatazamia kuja kwa ufalme wa mungu. basi, alimwendea pilato bila uoga, akaomba apewe mwili wa yesu.
venit ioseph ab arimathia nobilis decurio qui et ipse erat expectans regnum dei et audacter introiit ad pilatum et petiit corpus ies
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
kulikuwa na mlawi mmoja, mzaliwa wa kupro, jina lake yosefu, ambaye mitume walimwita jina barnaba (maana yake, "mtu mwenye kutia moyo").
ioseph autem qui cognominatus est barnabas ab apostolis quod est interpretatum filius consolationis levites cyprius gener
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting