Results for alikasirika translation from Swahili to Latvian

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Latvian

Info

Swahili

alikasirika

Latvian

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latvian

Info

Swahili

"basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote.

Latvian

un viņa kungs, kļuvis dusmīgs, nodeva to mocītājiem, kamēr tas neatdos visu parādu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu alipoona hivyo, alikasirika akawaambia, "waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana ufalme wa mungu ni kwa ajili ya watu walio kama watoto hawa.

Latvian

jēzus, tos redzēdams, saīga un sacīja viņiem: laidiet bērniņus pie manis nākt un neliedziet viņiem, jo tādiem pieder dieva valstība.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

herode alipogundua kwamba wale wataalamu wa nyota walikuwa wamemhadaa, alikasirika sana. akaamuru watoto wote wa kiume mjini bethlehemu na kandokando yake wenye umri wa miaka miwili na chini yake wauawe. alifanya hivyo kufuatana na muda aliopata kujua kutoka kwa wale wataalamu wa nyota.

Latvian

tad herods, redzēdams, ka viņu gudrie izsmējuši, ļoti dusmojās, aizsūtīja un nogalināja visus bērnus, kuri bija betlēmē un visā tās apkārtnē, sākot ar diviem gadiem un jaunākus, saskaņā ar laiku, kādu viņš iztaujāja gudrajiem.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini mkuu wa sunagogi alikasirika kwa sababu yesu alikuwa amemponya siku ya sabato. hivyo akawaambia wale watu walikusanyika pale, "mnazo siku sita za kufanya kazi. basi, fikeni siku hizo mkaponywe magonjwa yenu; lakini msije siku ya sabato."

Latvian

bet sinagogas priekšnieks, saīdzis, ka jēzus dziedināja sabatā, sāka runāt ļaudīm, sacīdams: ir sešas dienas, kurās jāstrādā; tanīs nāciet un dziedinieties, bet ne sabatā!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,790,279,387 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK