Results for mpango translation from Swahili to Latvian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latvian

Info

Swahili

baada ya siku nyingi kupita, wayahudi walikusanyika na kufanya mpango wa kumwua saulo.

Latvian

kad pagāja vairākas dienas, jūdi kopīgi nolēma nonāvēt viņu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini mafarisayo na walimu wa sheria walikataa mpango wa mungu uliowahusu wakakataa kubatizwa na yohane.

Latvian

bet farizeji un bauslības pratēji nicināja dieva gribu par sevi, nesaņemot no viņa kristību.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mimi nilijulishwa kwa njia ya ufunuo mpango wake uliofichika. (nimeandika kwa ufupi juu ya jambo hili,

Latvian

jo, pateicoties atklāsmei, man ticis zināms noslēpums, kā jau agrāk īsumā rakstīju.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu alitekeleza kile alichonuia, akatujulisha mpango wake uliofichika, ambao alikuwa ameazimia kuutekeleza kwa njia ya kristo.

Latvian

lai zināmu darītu mums savas gribas noslēpumu pēc labpatikas; un tā viņš sevī bija nolēmis,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini saulo alipata habari ya mpango huo. usiku na mchana walilinda milango ya kuingia mjini ili wapate kumwua.

Latvian

bet sauls uzzināja viņu viltību. un tie sargāja vārtus dienu un nakti, lai viņu nonāvētu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mpango huo ambao angeutimiza wakati utimiapo ni kukusanya pamoja viumbe vyote, kila kitu mbinguni na duniani, chini ya kristo.

Latvian

laikiem piepildoties, visu, kas debesīs un kas virs zemes, atjaunot kristū.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nami nimefanywa kuwa mtumishi wa kanisa kufuatana na mpango wake mungu ambao alinikabidhi kwa faida yenu. mpango wenyewe ni kuutangaza kwa ukamilifu ujumbe wake,

Latvian

tās kalps esmu kļuvis saskaņā ar dieva rīkojumu, ko man devis jūsu dēļ, lai es piepildītu dieva vārdu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nawaambieni haya kwa faida yenu, na si kwa kuwawekeeni kizuio. nataka tu muwe na mpango unaofaa, mpate kumtumikia bwana kwa moyo na nia moja.

Latvian

es to saku jūsu labā, ne cilpu jums apmezdams, bet tājā nolūkā, lai dotu jums iespēju godīgā dzīvē un bez traucējuma pielūgt kungu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini mtoto wa kiume wa dada yake paulo alisikia juu ya mpango huo; hivyo akaenda ndani ya ngome, akamjulisha paulo juu ya njama hiyo.

Latvian

pāvila māsas dēls, dzirdēdams par šo viltību, nāca, iegāja kareivju mītnē un paziņoja pāvilam.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wakati ule malaika wa saba atakapotoa sauti yake, wakati atakapopiga tarumbeta yake, mungu atakamilisha mpango wake wa siri kama alivyowatangazia watumishi wake manabii."

Latvian

bet septītā eņģeļa vēstījuma dienās, kad tas sāks bazūnēt, piepildīsies dieva noslēpums, kā viņš to pasludināja caur saviem kalpiem praviešiem.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kila kitu hufanywa kufuatana na mpango na uamuzi wa mungu; naye mungu ametuteua sisi tuwe watu wake kwa mapenzi yake katika kuungana na kristo, kufuatana na azimio alilofanya tangu mwanzo.

Latvian

viņā, kas dara visu pēc savas gribas lēmuma, arī mēs esam aicināti mantinieki saskaņā ar viņa nodomu,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa nafurahi, si kwa sababu mmehuzunika, ila kwa kuwa huzuni yenu imewafanya mbadili nia zenu na kutubu. mmehuzunishwa kadiri ya mpango wa mungu, na kwa sababu hiyo hatukuwadhuru ninyi kwa vyovyote.

Latvian

tad tagad es priecājos ne tāpēc, ka jūs bijāt noskumuši, bet tāpēc, ka noskumāt, lai gandarītu; jo jūs noskumāt pēc dieva prāta, lai jūs mūsu dēļ nekādā ziņā neciestu zaudējumu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na sasa pia mimi nawaambieni, msiwachukulie watu hawa hatua yoyote; waacheni! kwa maana, ikiwa mpango huu au shughuli hii yao imeanzishwa na binadamu, itatoweka yenyewe.

Latvian

tāpēc es jums tagad saku: atkāpieties no šiem cilvēkiem un atstājiet tos, jo, ja šis ir cilvēku nodoms un darbs, tad tas neiznāks.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mpango wa mungu ni kuwajulisha watu wake siri hii kuu na tukufu ambayo ni kwa ajili ya watu wote. na, siri yenyewe ndiyo hii: kristo yuko ndani yenu, na jambo hilo lamaanisha kwamba ninyi mtaushiriki utukufu wa mungu.

Latvian

dievs viņiem gribēja darīt zināmu, cik bagāta ir šī noslēpuma godība starp pagāniem; un tas ir kristus, godības cerība jūsos.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,139,770,959 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK