Results for vifungo translation from Swahili to Latvian

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Latvian

Info

Swahili

vifungo

Latvian

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latvian

Info

Swahili

ninachojua tu ni kwamba roho mtakatifu ananithibitishia katika kila mji kwamba vifungo na mateso ndivyo vinavyoningojea.

Latvian

tikai svētais gars man katrā pilsētā liecina, sacīdams, ka važas un apspiešana mani gaida jeruzalemē.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa, hapa yupo binti wa abrahamu ambaye shetani alimfanya kilema kwa muda wa miaka kumi na minane. je, haikuwa vizuri kumfungulia vifungo vyake siku ya sabato?"

Latvian

bet vai nevajadzēja sabatā atraisīt no šīm saitēm šo Ābrahama meitu, kuru sātans bija saistījis, lūk, jau astoņpadsmit gadu?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini sasa tumekuwa huru kutoka vifungo vya sheria, kwa sababu tumekufa kuhusu lile jambo lililotufanya sisi watumwa. sasa tunatumikia kufuatana na maisha mapya ya roho, na si kufuatana na hali ile ya kale ya sheria iliyoandikwa.

Latvian

bet tagad mēs esam atbrīvoti no nāves likuma, kurā tikām turēti, lai kalpotu jaunā garā, bet ne novecojušam burtam.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kutoka kwa yesu kristo, shahidi mwaminifu, wa kwanza kufufuliwa kutoka wafu, na ambaye ni mtawala wa wafalme wa dunia. yeye anatupenda, na kwa damu yake ametufungua kutoka vifungo vya dhambi zetu,

Latvian

un no jēzus kristus, kas ir uzticīgs liecinieks, mirušo pirmdzimtais un valdnieks pār zemes ķēniņiem, kas mūs mīlējis un savām asinīm nomazgājis mūsu grēkus,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alisema hivyo kwa kuwa yesu alikwishamwambia huyo pepo mchafu amtoke mtu huyo. pepo huyo mchafu alikuwa anamvamia mtu huyo mara nyingi, na ingawa watu walimweka ndani na kumfunga kwa minyororo na pingu, lakini kila mara alivivunja vifungo hivyo, akakimbizwa na pepo huyo mchafu hadi jangwani.

Latvian

un viņš pavēlēja nešķīstajam garam iziet no šī cilvēka, jo jau ilgu laiku viņš mocīja to. un viņu saistīja važās un dzelžos, lai sargātu viņu. bet viņš sarāva važas, un ļaunais gars to dzina tuksnesī.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,746,379,262 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK