From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya yesu, lakini ushahidi wao haukupatana.
jo daudzi nepareizi liecināja pret viņu; bet liecības nesaskanēja.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
wachungaji wa hao nguruwe walikimbia, wakaenda mjini. huko walitoa habari zote na mambo yaliyowapata wale watu waliokuwa wamepagawa.
gani bēga un, iegājuši pilsētā, pastāstīja visu, arī par tiem, kas bija ļaunā gara apsēsti.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alikuwa ameketi karibu na sanduku la hazina. akawa anatazama jinsi watu wengi walivyokuwa wakitoa fedha na kuzitia katika hazina ya hekalu. matajiri wengi walitoa fedha nyingi.
un jēzus, sēdēdams iepretim upuru lādei, redzēja, ka ļaudis meta naudu upuru lādē; un daudzi bagātie meta daudz.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
maana wote walitoa kutokana na ziada ya mali zao, lakini huyu mama, ingawa ni maskini, ametoa yote aliyokuwa nayo, ametoa kila kitu alichohitaji kwa kuishi."
jo visi meta no tā, kas viņiem bija lieks, bet šī upurēja no savas nabadzības visu, kas tai bija, - visu savu uzturu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting