Results for aibu translation from Swahili to Portuguese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Portuguese

Info

Swahili

mambo yanayotendwa kwa siri ni aibu hata kuyataja.

Portuguese

porque as coisas feitas por eles em oculto, até o dizê-las é vergonhoso.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aibu yenu nyinyi na hivyo mnavyo viabudu badala ya mwenyezi mungu!

Portuguese

que vergonha para vós e para os que adorais, em vez de deus!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

huwaadhibu wanablogu,waandishi na waratibu wa tovuti kwa kukiuka sheria inayoulinda ufalme dhidi ya aibu.

Portuguese

o país pune blogueiros, escritores e administradores de website por violar a lei de respeito à monarquia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu hiyo, mungu amewaacha wafuate tamaa mbaya za mioyo yao na kufanyiana mambo ya aibu kwa miili yao.

Portuguese

por isso deus os entregou, nas concupiscências de seus corações, � imundícia, para serem os seus corpos desonrados entre si;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wamepotoka na hawana aibu, wamejitosa katika ufisadi; hufanya kwa pupa kila aina ya mambo ya aibu.

Portuguese

os quais, tendo-se tornado insensíveis, entregaram-se � lascívia para cometerem com avidez toda sorte de impureza.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkasa wa kutia aibu wa ngono wa watu wanaojulikana sanawa namna hiyo uliibabatiza sana nchi ya ufilipinomwaka jana ambao ulifagia njia ya kuanzishwa kwa sheria inayozuia kuangalia mambo ya nguoni.

Portuguese

um escândalo sexual similar aconteceu nas filipinas no ano passado e pavimentou a estrada para a passagem de uma lei anti-voyeurismo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

leo, pendekezo hilo limeamshwa upya kutokana na kuwepo kwa mkanda wa kutia aibu wa ngono wa mtu maarufu ambao unaendelea kuwastua wote watoto na watu wazima katika nchi yenye idadi kubwa zaidi ya waislamu duniani.

Portuguese

hoje, a proposta está sendo reavivada graças ao escândalo sexual envolvendo uma celebridade que segue chocando jovens e adultos no país com maior população islâmica do mundo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye anawatakasa watu dhambi zao, naye pamoja na wale waliotakaswa, wote wanaye baba mmoja. ndiyo maana yesu haoni aibu kuwaita hao ndugu zake;

Portuguese

pois tanto o que santifica como os que são santificados, vêm todos de um só; por esta causa ele não se envergonha de lhes chamar irmãos,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku 5 baada ya uharibifu, iko wapi serikali yetu? @govph mafunzo yamekwisha, ni wakati wa kufanya mambo kwa kasi! #aibu #yolandaph — jr pantino (@guillmo) novemba 13, 2013

Portuguese

5 dias de devastação, e onde está o nosso governo? @govph seu treinamento já terminou, tá na hora de acelerar as coisas #shame #yolandaph

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,634,221,436 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK