Results for hatimaye translation from Swahili to Portuguese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Portuguese

Info

Swahili

myanmar: hatimaye suu kyi amekuwa huru

Portuguese

mianmar: suu kyi conquista a liberdade

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatimaye, baada ya siku 46 mfululizo za matetemeko, angalao ardhi kwa sasa inatulia.

Portuguese

agora, finalmente depois de 46 dias da ameaça constante de tremores, parece que a terra está assentando.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

amekuwa kifungoni kwa miaka 15 katika miaka 21 iliyopita, lakini hivi sasa hatimaye yuko huru.

Portuguese

ela passou 15 dos últimos 21 anos presa, mas agora está finalmente em liberdade.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini joka hilo halikuweza kuwashinda, na hatimaye hapakuwa tena na nafasi mbinguni kwa ajili yake na malaika wake.

Portuguese

mas não prevaleceram, nem mais o seu lugar se achou no céu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwamba hivi sasa hatimaye suu kyi yuko huru, tovuti huru ya habari the irrawaddy inawataka wasomaji wake kuwasilisha mapendekezo na mawazo mbalimbali kwa suu kyi

Portuguese

agora que suu kyi conquistou, por fim, a liberdade, o site independente de notícias the irrawaddy convida os leitores a enviarem sugestões e outras ideias para suu kyi:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatimaye wanaonesha hali ya woga iliyopandikizwa upande wa kusini na mapuche, bila ya kujali haki za binadamu kabisa. #informeespecial

Portuguese

eles estão finalmente mostrando o terror que os mapuche plantam no sul, sem qualquer respeito aos direitos humanos #informeespecial

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kabla ya uchaguzi uliopita mwaka jana 2011, wapo watu walidhani kuwa asingetamani tena kugombea kwa awamu ya tatu mfululizo, lakini kinyume na matarajio ya wengi akajitokeza kugombea na hatimaye akashinda uchaguzi huo.

Portuguese

antes das últimas eleições em 2011, algumas pessoas achavam que ele não se candidataria ao cargo pela terceira vez, mas surpreendentemente ele concorreu e ganhou as eleições.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pamoja na vikwazo vyote hatimaye wayukpa walifaulu kujipenyeza katika vikwazo vyote vya kuwasiliana na kuifikia jumuiya ya machique mnamo tarehe 26 agosti 2008, na hapo hugo chávez ametangaza kwamba ardhi hiyo haina budi kurejeshwa na kwamba haki za wenyeji wa eneo hilo hazina budi kuheshimiwa.

Portuguese

por fim, os yukpa conseguiram quebrar os bloqueios de comunicação e alcançaram a atenção da mídia, e conseguiram chegar à comunidade de machique em 26 de agosto de 2008, e então hugo chávez declarou que estas terras devem ser devolvidas e que os direitos das comunidades indígenas devem ser respeitados.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatimaye karani wa mji alifaulu kuwanyamazisha, akawaambia, "wananchi wa efeso, kila mtu anajua kwamba mji huu wa efeso ni mlinzi wa nyumba ya mungu artemi na mlinzi wa ile sanamu iliyoanguka kutoka mbinguni.

Portuguese

havendo o escrivão conseguido apaziguar a turba, disse: varões efésios, que homem há que não saiba que a cidade dos efésios é a guardadora do templo da grande deusa diana, e da imagem que caiu de júpiter?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hatimaye, rais alieleza kwamba kutakuwa na mfuko maalumu ambao utagawanya jumla ya peso bilioni 8 (sawa na dola za marekani milioni 15,107,160) kwa kupitia vocha maalumu zitakazogawanywa kwa familia zipatazo 200,000 ili ziweze kununua vifaa vya ujenzi.

Portuguese

finalmente, o presidente destacou o fundo especial que irá distribuir $8 bilhões de pesos chilenos (us$15.107.160) em vales a 200.000 famílias, para que comprem material de construção.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,953,156,461 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK