Results for uchambuzi translation from Swahili to Portuguese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Portuguese

Info

Swahili

podikasti yenye mahojiano, uchambuzi na taarifa za ziada kuhusiana na mambo yaliyojadiliwa kwenye makala mbalimbali zitapatikana kila mwisho wa mwezi.

Portuguese

um podcast também estará disponível com entrevistas, análises e informações adicionais sobre os temas analisados nas publicações.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatutafuti sana uchambuzi wa kitaalamu au tafiti za kina na badala yake tunaangalia maelezo yanayoshawishi kuhusu changamoto za haki ya uhuru wa kujieleza na faragha ya mtandaoni, katika namna ambayo kila mtumiaji wa mtandao wa intaneti anaweza kuyaelewa.

Portuguese

estamos buscando textos sem muita análise técnica ou abstração, ou seja, que sejam convincentes ao explicar os muitos desafios que ameaçam o direito à livre expressão e privacidade online, de forma a que qualquer usuário de internet possa entendê-los.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jukwaa la msumbiji liitwalo olho cidadão (jicho la wananchi) lilizindua blogu mpya tarhe 2 aprili, 2013, kwa uchambuzi wa uwepo wa vyama vya siasa mtandaoni .

Portuguese

a plataforma moçambicana olho do cidadão lançou um novo blog em 2 de abril de 2013, com uma análise da presença dos partidos políticos na internet.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

andré maleronka, ambaye anahusika na kutangaza jarida katika blogu ya overmundo anaongeza: katika toleo la kuchapisha, jarida hilo linawatumia waandishi wazito na mchanganyiko wa hadithi na taalam za utamaduni, ripoti za watu wasio na makazi, waliokuwa wakiishi mitaani pamoja na uchambuzi wa sera za mitaani.

Portuguese

a revista, em papel jornal, conta com colaboradores de peso e uma mistura de notícias e resenhas culturais entremeadas com relatos de sem-teto, ex-moradores de rua, análise de políticas urbanas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,144,860,689 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK