Results for kadhalika translation from Swahili to Russian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Russian

Info

Swahili

kadhalika, wahimize vijana wawe na kiasi.

Russian

Юношей также увещевай быть целомудренными.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana.

Russian

Также и разбойники, распятые с Ним, поносили Его.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kadhalika niliwaona waliokuwa wakilia kwa ajili ya kuwapoteza ndugu zao.

Russian

На сколько я понимаю, в Тарчилейке насчитано 60 погибших.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali kadhalika na yule aliyekabidhiwa talanta mbili akapata faida talanta mbili.

Russian

точно так же и получивший два таланта приобрел другие два;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali kadhalika, baba yenu wa mbinguni hapendi hata mmoja wa hawa wadogo apotee.

Russian

Так, нет воли Отца вашего Небесного, чтобы погиб один из малых сих.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nanyi, kadhalika muwe tayari, maana mwana wa mtu atakuja saa msiyoitazamia."

Russian

Будьте же и вы готовы, ибо, в который час не думаете, приидет Сын Человеческий.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kadhalika, kanuni hiyo inazuia kuelekeza kamera inayopaa kwa mtu, mnyama au mkusanyiko wa watu.

Russian

Оно также запрещает направлять дроны на людей, животных или собрания людей.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kampeni ya kukumbatia inawaomba vijana vilevile kututumia uzoefu wao katika kampeni hii na picha hali kadhalika.

Russian

Кампания hug также приглашает молодых людей поделиться своими впечатлениями и фотографиями.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali kadhalika, kulikuwa na amri ya kuhama makazi nchini peru baadhi ya majiji kusini mwa nchi hiyo:

Russian

Также в Перу вышел приказ об эвакуации нескольких городов на юге страны:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chanzo pekee cha mapato ya ocas ni pesa inazopewa na wauzaji wa jarida, kadhalika kupitia kwa matangazo na michango.

Russian

Здесь нет опечатки – именно бездомными.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali kadhalika ingawa sisi ni wengi, tu mwili mmoja kwa kuungana na kristo, na kila mmoja ni kiungo cha mwenzake.

Russian

так мы, многие, составляем одно тело во Христе, апорознь один для другого члены.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kadhalika, kuna taarifa kwamba maafisa wa polisi waliwakamata na kuwaweka kizuizini baadhi ya watoto wa mtaani wakati wa ziara hiyo ya papa.

Russian

Также есть данные, что сотрудники правоохранительных органов задержали несколько уличных детей во время публичного шествия Папы.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama vile dhambi ilivyotawala kwa kifo, kadhalika neema inatawala kwa njia ya uadilifu, na kuleta uzima wa milele kwa njia ya yesu kristo bwana wetu.

Russian

дабы, как грех царствовал к смерти, так и благодать воцарилась через праведность к жизни вечной Иисусом Христом, Господом нашим.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"siku hiyo, yeyote atakayekuwa juu ya paa asishuke nyumbani kuchukua mali yake. kadhalika, naye atakayekuwa shambani asirudi nyuma.

Russian

В тот день, кто будет на кровле, а вещи его в доме, тот не сходи взять их; и кто будетна поле, также не обращайся назад.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kadhalika kupuuza kunaweza kuifanya hali izidi kuwa ya hatari zaidi ya ilivyokuwa wakati wa utawala wa bush kwa sababu obama anaweza kukusanya viongozi wa kisiasa na maoni ya wananchi dhidi ya irani.

Russian

Не придавая должного внимания этому посланию, мы можем усугубить и без того опасную ситуацию, которая сложилась при Буше. Обама же способен мобилизовать политических лидеров и сформировать общественное мнение против Ирана.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila kundi lina maoni yake, na linaamini katika muono wao kwa mustakabali wa nchi. kila kundi liko sahihi kwa mantiki nyingi tu, na kadhalika lina makosa kwa namna nyingi vile vile.

Russian

Представители каждого лагеря придерживаются разных убеждений и разных взглядов на будущее страны, и все они во многом правы и во многом заблуждаются.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao wanaume hali kadhalika, wanaacha kufuata matumizi ya maumbile ya mume na mke wakawakiana tamaa wao kwa wao. wanaume wanafanyiana mambo ya aibu, na hivyo wanajiletea wenyewe adhabu wanayostahili kwa vitendo vyao viovu.

Russian

подобно и мужчины, оставив естественное употребление женского пола, разжигались похотью друг на друга, мужчины на мужчинах делая срам и получая в самих себе должное возмездие за свое заблуждение.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jitihada za ellery zimewafanya waandishi wa habari za utetezi kiwango cha juu cha habari zao kuonekana na kadhalika wao kufahamika, ikiwa ni pamoja na vyombo vikuu vya habari kama vile the guardian, the washington post, na slate.

Russian

Усилиями Эллери авторы gv advocacy стали получать куда больше внимания, даже со стороны крупных СМИ, например, the guardian, the washington post и slate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kadhalika nanyi waume, katika kuishi na wake zenu mnapaswa kutambua kwamba wao ni dhaifu na hivyo muwatendee kwa heshima; maana nao pia watapokea pamoja nanyi zawadi ya uzima anayowapeni mungu. hapo ndipo sala zenu hazitakataliwa.

Russian

Также и вы, мужья, обращайтесь благоразумно с женами, как с немощнейшим сосудом, оказывая им честь, как сонаследницам благодатной жизни, дабы не было вам препятствия в молитвах.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini yeye, akiwa anayajua mawazo yao, akawaambia, "ufalme wowote uliofarakana wenyewe, hauwezi kudumu; kadhalika, jamaa yeyote inayofarakana huangamia.

Russian

Но Он, зная помышления их, сказал им: всякое царство, разделившееся само в себе, опустеет, и дом, разделившийся сам в себе, падет;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,951,485,762 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK