Results for makombo translation from Swahili to Russian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Russian

Info

Swahili

wote wakala, wakashiba. kisha wakakusanya makombo, wakajaza vikapu saba.

Russian

И ели все и насытились; и набралиоставшихся кусков семь корзин полных,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakala wote, wakashiba; wakakusanya makombo ya chakula, wakajaza vikapu kumi na viwili.

Russian

И ели, и насытились все; и оставшихся у них кусков набрано двенадцать коробов.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lazaro alitamani kula makombo yaliyoanguka kutoka meza ya tajiri; na zaidi ya hayo, mbwa walikuwa wanakuja na kulamba vidonda vyake!

Russian

и желал напитаться крошками, падающими со стола богача, и псы, приходя, лизали струпья его.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo mama akajibu, "ni kweli, mheshimiwa; lakini hata mbwa hula makombo yanayoanguka kutoka meza ya bwana wao."

Russian

Она сказала: так, Господи! но и псы едят крохи, которые падают со стола господ их.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"na nilipoimega ile mikate saba na kuwapa watu elfu nne, mlikusanya makapu mangapi ya makombo?" wakamjibu, "saba."

Russian

А когда семь для четырех тысяч, сколько корзин набрали вы оставшихся кусков. Сказали: семь.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

je, hamjaelewa bado? je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu elfu tano? je, mlijaza vikapu vingapi vya makombo?

Russian

Еще ли не понимаете и не помните о пяти хлебах на пять тысяч человек , и сколько коробоввы набрали?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati ule nilipoimega ile mikate mitano na kuwapa watu elfu tano? mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki ya makombo?" wakamjibu, "kumi na viwili."

Russian

Когда Я пять хлебов преломил для пяти тысяч человек , сколько полных коробов набрали вы кусков? Говорят Ему:двенадцать.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,906,544,721 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK