Results for na pasipo imani haiwezekani kumpe... translation from Swahili to Russian

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Russian

Info

Swahili

na pasipo imani haiwezekani kumpendeza mungu

Russian

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Russian

Info

Swahili

basi, pasipo imani haiwezekani kumpendeza mungu. kwa maana kila mtu anayemwendea mungu ni lazima aamini kwamba mungu yuko, na kwamba huwatuza wale wanaomtafuta.

Russian

А без веры угодить Богу невозможно; ибо надобно, чтобыприходящий к Богу веровал, что Он есть, и ищущим Его воздает.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wanaotii matakwa ya mwili hawawezi kumpendeza mungu.

Russian

Посему живущие по плоти Богу угодить не могут.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwendeeni yeye kama mawe hai mkajengeke na kuwa nyumba ya kiroho, ambamo mtatumikia kama makuhani watakatifu, kutolea dhabihu za kiroho zenye kumpendeza mungu kwa njia ya yesu kristo.

Russian

и сами, как живые камни, устрояйте из себя дом духовный, священство святое, чтобы приносить духовные жертвы, благоприятные Богу Иисусом Христом.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sisi twanena daima kama atakavyo mungu kwani yeye alituona kwamba tunafaa, akatukabidhi hii habari njema. si nia yetu kuwapendeza watu hata kidogo, bali twataka kumpendeza mungu ambaye anajua mioyo yetu mpaka ndani.

Russian

но, как Бог удостоил нас того, чтобы вверить нам благовестие, так мы и говорим, угождая не человекам, но Богу, испытующему сердца наши.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatimaye, ndugu zangu, mmejifunza kutoka kwetu namna mnavyopaswa kuishi ili kumpendeza mungu. na kweli mmekuwa mnaishi hivyo. sasa tunawaombeni na kuwasihi kwa jina la bwana yesu mfanye vema zaidi.

Russian

За сим, братия, просим и умоляем вас Христом Иисусом, чтобы вы, приняв от нас, как должно вам поступать и угождать Богу, более в том преуспевали,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,770,608,931 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK