Results for nikiwa translation from Swahili to Russian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Russian

Info

Swahili

"nimewaambieni mambo haya nikiwa bado pamoja nanyi

Russian

Сие сказал Я вам, находясь с вами.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ninakuandikia barua hii nikiwa na matumaini ya kuja kwako hivi karibuni.

Russian

Сие пишу тебе, надеясь вскоре придти к тебе,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu hiyo, wayahudi walinikamata nikiwa hekaluni, wakajaribu kuniua.

Russian

За это схватили меня Иудеи в храме и покушались растерзать.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nikiwa nimekaa huku nikitafakari kimya kimya, niliwaomba waniruhusu niongee na familia yangu.

Russian

Сидя в машине, рефлексивно молча, я попросила их дать мне позвонить моей семье.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa, sikilizeni! mimi, nikiwa ninamtii roho, nakwenda yerusalemu bila kufahamu yatakayonipata huko.

Russian

И вот, ныне я, по влечению Духа, иду в Иерусалим, не зная, что там встретится со мною;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, nikiwa nimeungana na kristo yesu, naweza kujivunia huduma yangu kwa ajili ya mungu.

Russian

Итак я могу похвалиться в Иисусе Христе в том, что относитсяк Богу,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninathamini sana kila dakika niliyoitumia nikiwa na edom, mwanamke ambaye kwa weledi mkubwa amekuwa akitetea kile alichokiamini.

Russian

Я дорожу каждой минутой, проведённой с Эдом, женщиной, которая смело защищает свои убеждения.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati mnapokusanyika pamoja kwa jina la bwana yesu, nami nikiwa pamoja nanyi kwa roho, basi, kwa uwezo wa bwana wetu yesu,

Russian

в собрании вашем во имя Господа нашего Иисуса Христа, обще с моим духом, силою Господа нашего Иисуса Христа,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu hiyo, ningeweza, kwa uhodari kabisa, nikiwa ndugu yako katika kristo, kukuamuru ufanye unachopaswa kufanya.

Russian

Посему, имея великое во Христе дерзновение приказывать тебе, что должно,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mimi paulo mwenyewe ambaye naonekana kuwa mpole nikiwa pamoja nanyi, lakini mkali wakati nikiwa mbali nanyi, nawasihini kwa huruma na wema wake kristo.

Russian

Я же, Павел, который лично между вами скромен, а заочно против вас отважен, убеждаю вас кротостью и снисхождением Христовым.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nikiwa bado nawapeni maagizo haya, siwezi hata kidogo kuwapa ninyi hongera kuhusu haya yafuatayo: mikutano yenu ninyi waumini yaleta hasara zaidi kuliko faida.

Russian

Но, предлагая сие, не хвалю вас , что вы собираетесь не на лучшее, а на худшее.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, ninaandika barua hii nikiwa mbali, ili nitakapofika kwenu nisilazimike kuwa mkali kwenu kwa kutumia ule uwezo alionipa bwana; naam, uwezo wa kujenga na si wa kubomoa.

Russian

Для того я и пишу сие в отсутствии, чтобы в присутствии не употребить строгости по власти, данной мне Господом к созиданию, а не к разорению.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilikwisha sema, na kama ilivyokuwa safari ya pili, sasa nasema tena nikiwa mbali: wale wote waliotenda uovu bila kutubu, na pia wale wengine, nitakapokuja, watakiona cha mtema kuni.

Russian

Я предварял и предваряю, как бы находясь у вас во второй раз, и теперь, отсутствуя, пишу прежде согрешившим и всем прочим, что, когда опять приду,не пощажу.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,953,305,678 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK